Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kiba atulie afanye mambo hzo tuzo za kimataifa hata saida karol halpata ila yuko wap
Mkuu kauli hizi hazitamsaidia, recognition kimataifa ndio mpango, lazima akaze buti acheze level moja na akina p squre na si kuishia matamasha ya kibongo na sponsors uchwara
 
wenyeji wazima humu?? nafikiri lengo lenu/letu wote ni kuona wanamuziki wetu wanafanikiwa katika malengo yenu, nimeona kitu ambacho sio mbaya nikiweka hapa kila mtu aone....naamini kuna cha kujifunza humu kwa hawa wanamuziki wetu ili wafike mbali, msijali heading kwani content ina mengi ya maana na kugusa wengi zaidi ya jina kwenye heading.

https://www.jamiiforums.com/habari-...ga-akili-ya-diamond-usiige-ubongo-wa-20%.html
 
Ali Kiba bana unachosha mashabiki wako, kwanini hujui kucheza na muda?
Unapokuwa hot make sure u remain hot as long as possible, toka umetoa Mwana ika hit umefanya nini kingine? Dunia ya leo unatoa wimbo bila video?
Unamengi yakujifunza toka kwa akina Ommy dimpoz, Mavoko na Platnumz
Unatufanya wepenzi wako tunatumia msuli sana kukubakiza juu wakati wewe mwenyewe unachelewesha mambo
Kumbuka watu watafikia mahali watakuchoka bana

Atoe audio na video pamoja :what::what: we vp vitu vyenywe vinadumu hewani miezi 3 sa akitoa kwa pamoja c vitabuma mpango audio kwanza alafu video baadae uyo mavoko yupo wapi tumeshaisahau pacha wangu ,
 
Nani Shadya? Aliyedanganya anampeleka Kiba Tunduru sikukuu ya Eid?? Binti ana mashauz mpauko yule anawachosha tu wajinga wenzie huko Fb.

Achana na hao washamba,Kiba ana mbebez mkarez balaa,kapoole kenyewe wana hana mashauzi ya kujionyesha!Hao wanaojitapa ndio wale wa one night stand alafu wanajiona ndio wamiliki halali.
Kiba hajaanza kugombewa leo.
 
King buana 🏃🏃🏃🏃
 

Attachments

  • 1418236892655.jpg
    1418236892655.jpg
    43 KB · Views: 76
Uyu dancer wa kushoto cmpendi ajui kudance
 

Attachments

  • 1418237434258.jpg
    1418237434258.jpg
    45.3 KB · Views: 70
Ndiio maana ninyi ni mashabiki mabumunda...au maandazi

kumbe unajua hilo
kihereher gani kilikutuma utuandike labda...?$!
au tujue na we upo jf?!!
haya tushajua kuna miss gracious yupo jf na amechangia kwa kiba
hongera kachukue soda kwa mangi unywee ntakulipia
 
Back
Top Bottom