Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu kauli hizi hazitamsaidia, recognition kimataifa ndio mpango, lazima akaze buti acheze level moja na akina p squre na si kuishia matamasha ya kibongo na sponsors uchwarakiba atulie afanye mambo hzo tuzo za kimataifa hata saida karol halpata ila yuko wap
