Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mheshimiwa shabiki mabumunda....bado upo unakesha hapa JF

Utakuwa mvivu na jobless kama mwenzenu

Welcome to the winning boat...winning team

We rock in Africa....

Mtabaki na msanii wenu ovyooo na ushabiki mandazi wenu....

Ndio maisha niliyojichagulia,yanakuhusu nini?
Wewe mwenye kazi mbona umeamkia hapa na hadi sasa huko hapa kubishana na majobless?
 
Ndio maisha niliyojichagulia,yanakuhusu nini?
Wewe mwenye kazi mbona umeamkia hapa na hadi sasa huko hapa kubishana na majobless?

Yy sasa hivi kapumzika kazi yake inaanza saa 12 jioni mitaani uko
 
Ndio maana nimekuambia una utindio wa ubongo,wapi nilikosema nina kichefuchefu?
Acha kukurupuka wewe,usidhani unaongea na mama ntilie wenzio hapa.

Duh...binti unapanic kama vile unatwaaaaaa

Tuliza boli mama....ukiwa shabiki vitumbua lazima uambiwe

Mtu mzima umekaa unashabikia wavivu....

No wonder uko joblesss
 
Ndio najua ninachokifanya,mimi ni mvivu namshabikia mvivu mwenzangu,wewe hodari hapa unafanya nini?

Niko hapa kuuonesha ulimwengu jinsi ulivyo maandazi......

Hopeless and jobless

Na jinsi mnavyopoteza muda kushabikia wavivu wasiojituma
 
Hahahahaaaa
Pia nahisi jamaa atakua mpishi aisee,maana kaanza maandazi,mabumunda na sasa hivi ana bajia!

Mkuu katika vyote hivyo chagua wewe ni shabiki;
  • Maandazi?
  • Vitumbua?
  • Bajia?
  • Mabumunda?
  • Mtori?
 
Duh...binti unapanic kama vile unatwaaaaaa

Tuliza boli mama....ukiwa shabiki vitumbua lazima uambiwe

Mtu mzima umekaa unashabikia wavivu....

No wonder uko joblesss

Hahahaaaa wewe mtu ni sheeedah aisee!
Maandazi,mabumunda,bajia sasa hivi una vitumbua...
Naona umebakiza kachori,sambusa,chapati n.k

Sasa mimi nimepanic wapi jamani?Ni wapi nilikosema nina kichefuchefu?
Mimi na wewe nani wa kutuliza boli?
 
Yaani umependa kuongezea kachori sio?

Hahahahahahah....

Ona ulivyo msahaulifu...dakika mbili zimepita ushasahau ulichoandika kabla

Effect za kuwa shabiki bajia hizi,,....

I believe you are better than this...at least wewe unaonekana kama una akili kwa mbaaaaaaaallliiii sio kama @Abou Saydou
 
Mkuu katika vyote hivyo chagua wewe ni shabiki;
  • Maandazi?
  • Vitumbua?
  • Bajia?
  • Mabumunda?
  • Mtori?

Mimi ni nifah,napenda mziki mzuri kutoka kwa msanii anayejielewa,naye si mwingine bali ni King Kiba.
Hakuna wa kunibadilisha katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa kuuonesha ulimwengu jinsi ulivyo maandazi......

Hopeless and jobless

Na jinsi mnavyopoteza muda kushabikia wavivu wasiojituma

Umekuja kuuonesha ulimwengu kwa hoja gani?
Maandazi,vitumbua,bumunda,bajia?
Hahahaaaaaaa
 
Mimi ni nifah,napenda mziki mzuri kutoka kwa msanii anayejielewa,naye si mwingine bali ni King Kiba.
Hakuna wa kunibadilisha katika hili.

Unajua nini nifah mimi sijakataa...kwa sababu birds of same feathers flock together

Unashabikia mtu mpuuzi asiyejua kutumia opportunity

Mtu mpuuzi na mvivu wa kufanya kazi

Mtu mpuuzi na mwenye gubu kwa maendeleo ya real fighters wa muziki

Lazima na wewe utakuwa ni ombaomba tu
 
Last edited by a moderator:
Yaani umependa kuongezea kachori sio?

Hahahahahahah....

Ona ulivyo msahaulifu...dakika mbili zimepita ushasahau ulichoandika kabla

Effect za kuwa shabiki bajia hizi,,....

I believe you are better than this...at least wewe unaonekana kama una akili kwa mbaaaaaaaallliiii sio kama @Abou Saydou

Tumalize ubishi katika hili,naomba tafuta comment ambayo nimesema nina kichefuchefu kwanza otherwise huna hoja wewe ni mjinga tu uliyeamua kujifurahisha kwa ku mess up na Kiba fans
 
Back
Top Bottom