Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahah no le project puliiiz!!
Heheheer kwani le project likianza mtasema basi?...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah no le project puliiiz!!
Heheheer mimi nilidhani ya kuchota!
Haya mama jilie vya wajinga huko.
Vipi lakini wameshinda s/mitaa?
Hahah wenye bahati ya kuchota ni wa escrow tu!
Btw, hata sijafuatilia now nipo safarini
Heheheer kwani le project likianza mtasema basi?...lol
aah sana tu, tupo hapa kwa ajili yake, ashindwe yeye tu, much love kwa sana
Wazoefu ndiyo, mlivyolicheza lile game khaaa! HahahHahahahahaaa eti wazoefu... Hebu nifah nisaidie hii kesi baby wangu!Ova
Wazoefu ndiyo, mlivyolicheza lile game khaaa! Hahah
Yapp!!!
Kule Ig watu wanajiachia tu na #DanceLaMwana .....full burudani!
Wazoefu ndiyo, mlivyolicheza lile game khaaa! Hahah
Succesfull archived
Mnnmmnnnhhhh!!?
Mkuu kilikuja na meli hicho. BE PROUD TO WRITE SWAHILI.
Tatizo siwezi kula kwa macho wakati nina njaa na chakula nimeletewa kabisa mpaka mezani.
Ofcoz I won't allow le project just assure me of safety maana na wewe dah!
Get content boy, sina stress na maisha nipo Golden park hapa Sinza kumekucha nina bia ya tano na nataka kupiga Jack Daniel kwa Redbull mpaka kuchele.
I sold in cash this year 2014, kama una stress za maisha na unaishi Dar karibu uje kuyarefusha maisha hapa. Stress free zone.
Yeah! Kwa sababu alizungumza ukweli juu ya asiye na shukrani. Alitolewa kwa ufadhili wa Papaa Misifa, akagombana naye, alirekodi kwa ruhusa ya Ali Kiba, akagombana naye, alirekodi kwa beat ya Bob Junior, akagombana naye, alitoka kwa video ya Adam Juma, akagombana naye, alitengenezewa hit ya Mawazo iliyompa show ya BBA kwa mara ya kwanza, Maneke, naye kagombana naye. List ni ndefu acha niishie hapo.Hahahaaaa Mdakuizi naona davido alikukosha sana na huo usemi wake hadi umehifadhi tarehe aliyosema!
Kiukweli hata mimi nililipenda sana hilo le Tamkooooz...