Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mnnmmnnnhhhh!!?

Mkuu kilikuja na meli hicho. BE PROUD TO WRITE SWAHILI.

Get content boy, sina stress na maisha nipo Golden park hapa Sinza kumekucha nina bia ya tano na nataka kupiga Jack Daniel kwa Redbull mpaka kuchele.

I sold in cash this year 2014, kama una stress za maisha na unaishi Dar karibu uje kuyarefusha maisha hapa. Stress free zone.
 
Kama kusingekuwa na vilaza walioanza kuujua muziki wa Bongo Flava juzi juzi tu hapa, baada ya jirani yao wa Tandale kuanza kusikika, basi kusingekuwa na kelele za kipuuzi za baadhi yao. Ni wazi kumfananisha Kiba na mwanamuziki mwingine wa Bongo Flava ni sawa na kufananisha Mlima Kilimanjaro na fungu la korosho.
King Kiba aliongoza kwenye wimbo wa Hands Across The World, sio kwa kujichagua tu aongoze, ila kwa uamuzi wa mtunzi wa wimbo R Kelly, licha ya kuwako pamoja na mastaa wakubwa wa Afrika, R Kelly alisema Kiba ana sauti nzuri na ya kipekee, hivyo anapaswa kuongoza wimbo huo. Na ikawa hivyo.
Kama unafahamu Bongo Flava kitambo, utakuwa unajua kama wimbo wa Hands Across The World uliingia kwenye chart kubwa sana ya muziki ulimwenguni ya Billboards, ikiwa ni kwa mara kwanza mwanamuziki wa Tanzania kuwa na wimbo kwenye hiyo chart.
Mbali na hayo pia kundi la One8 na King Kiba na wenzake lilipata tuzo ya kuwa kundi bora la muziki la mwaka. Isitoshe kwa mara kwanza mwanamuziki wa Tanzania Ali Kiba, habari zake zililiripotiwa kwenye jarida la Billboard la Jan 8 - Mar 26, 2011, kwenye ukurasa wa 21.
Humo King Kiba ameelezewa kuwa mmoja wanamuziki wakali wa barani Afrika wa karne ya ishirini na moja, ambapo habari yenyewe iliandikwa na mwandishi wa Billboard mwenye ufahamu mkubwa muziki na vipaji vya muziki, aitwaye Diane Coetzer.
Bila shaka wakati utazungumza, tunaojua muziki na wanamuziki kitambo tutajulikana, na hata wale wenzangu na mimi wa fuata mkumbo baada ya jirani yao kuanza kuimba watajulikana. Haya sasa video ya Mwana iko njiani, sidhani kama Ijumaa itaisha bila kila mtu kuiona.
Naukumbuka huu msemo: Jiwe lisilo na shukrani huanguka - David Adeleke (Davido) Dec 10, 2014
Ova
 
Tatizo siwezi kula kwa macho wakati nina njaa na chakula nimeletewa kabisa mpaka mezani.

Ofcoz I won't allow le project just assure me of safety maana na wewe dah!

Na mimi nini tena? Shauri yako wewe upake rangi upepo tu, is up to you baby.
 
Get content boy, sina stress na maisha nipo Golden park hapa Sinza kumekucha nina bia ya tano na nataka kupiga Jack Daniel kwa Redbull mpaka kuchele.

I sold in cash this year 2014, kama una stress za maisha na unaishi Dar karibu uje kuyarefusha maisha hapa. Stress free zone.

Ha ha ha haaa,, ok. U defended well.
 
Hahahaaaa Mdakuizi naona davido alikukosha sana na huo usemi wake hadi umehifadhi tarehe aliyosema!
Kiukweli hata mimi nililipenda sana hilo le Tamkooooz...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa Mdakuizi naona davido alikukosha sana na huo usemi wake hadi umehifadhi tarehe aliyosema!
Kiukweli hata mimi nililipenda sana hilo le Tamkooooz...
Yeah! Kwa sababu alizungumza ukweli juu ya asiye na shukrani. Alitolewa kwa ufadhili wa Papaa Misifa, akagombana naye, alirekodi kwa ruhusa ya Ali Kiba, akagombana naye, alirekodi kwa beat ya Bob Junior, akagombana naye, alitoka kwa video ya Adam Juma, akagombana naye, alitengenezewa hit ya Mawazo iliyompa show ya BBA kwa mara ya kwanza, Maneke, naye kagombana naye. List ni ndefu acha niishie hapo.
Ova
 
Back
Top Bottom