Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Yap tutavote Sana king tar 27 yupo London then tar 30 yupo Mombasa ,mapema January atakua FRANCE

Aisee..King yuko vizuri sasa.Usiseme kabisa kuhusu kupiga kura maana mimi nitafanya kufuru...na bado KTMA....lazima wakae tu.
Ujue tokea King atoe video sijaenda insta?nilisema nitasubiri papoe kwanza....ngoja sasa niende.
Pop it in....
 
Nenda tu japo kuna mburula wanadis c unajua awakosekan
 
Mh,mie sjui kama alitembea nae.maana sio madam wala kiba mwenyewe aliyethubutu kutangaza mitandaoni na kuweka mapicha picha yao,ni utoto ati.

Nnachotaka kukuelewesha ni kwamba yaan lazima tujue kwanza anatoka na nani au kamfanyia nini aliyenae kabla hajatoa wimbo.kick za madem.

Nimekuuliza hao madem mpaka BET na MTV ndio wanaombeba?? Huo upuuzi wake wa nje muachie mwenyewe
 
Sikiliza wewe mjinga,mimi naitwa nifah na sio mpenzi...sawa?
Huu ni utoto unaoufanya sasa maana nimeshakuona mara kibao tu sasa nasema koma kabisa kuniita hivyo.
Hivi unadhani unamuumiza au kumkomoa nani hapa kwa mfano?
Poleee.....mission failed

hahaaaa!!! mwenzio unamuua mara ya pili jamani
 
Last edited by a moderator:
Nimekuuliza hao madem mpaka BET na MTV ndio wanaombeba?? Huo upuuzi wake wa nje muachie mwenyewe

Hauwezi ukauweka usanii wa jamaa yako mbali na skendo za mademu.hatasikika.

Yeye mwenyewe anajua hilo ndio maana haangalii status ya atakwayekwenda kudate naye,ili mradi atimize azma yake.

Watu hawatajishughulisha na privacy yako kama hujataka iwe hivyo.
 
KING KIBA'S FANS-

*kwanza jamaa yetu ni msani wa kweli sio wa mabox mpaka skendo.

*pili hatumringanishi na yeyote,tunapomsifia,kwetu sisi anaimba kuliko wengine.

*tatu sauti yake ina radha adimu sana,skilliza one 8 utagundua kelly aliona kitu akaamua aanze yeye.

*hachukui mademu maarufu,maana anajua kuwa hatafaidi,sababu wengi Wametumika sana.

*Ana nyota ya upinzani,ndio maana kila anachofanya anaonekana anaoppose, Kumbe laaa.anafanya kwa ajir ya watu
wake.

*tungo zake ni za kisanii haswaa,ndio maana ni nyimbo chache sana zinaeleweka na watoto wadogo (mali yangu).

*kwa sababu ya utulivu wake,busara na hekima-atakuwa baba na kaka bora Ambaye hatatafunwa na historia yake Siku zijazo,sioni hatari mwanangu Kumpenda kiba.

FOR US,U WILL BE A KING FOR EVER.
"K for reall"

Huyu jamaa alitulia sana wakati akiandika huu wasifu muhimu sana. Nadhani wabishi wangejaribu kuusoma tu huu wasifu wangeweza kutuelewa. Hakukosea jambo lolote, yuko sahihi kwa kila maeneo aliyoyazungumzia.
Ova
 
Nimekuuliza hao madem mpaka BET na MTV ndio wanaombeba?? Huo upuuzi wake wa nje muachie mwenyewe

Kwa sababu ulikuwa hujui view nyingi muda mfupi zimepatikanaje,ilikuwa lazima nikuelekeze.
 
Hauwezi ukauweka usanii wa jamaa yako mbali na skendo za mademu.hatasikika.

Yeye mwenyewe anajua hilo ndio maana haangalii status ya atakwayekwenda kudate naye,ili mradi atimize azma yake.

Watu hawatajishughulisha na privacy yako kama hujataka iwe hivyo.

Mkuu bado hujibu maswali yangu.. Hao mademu ndio wanamwandikia mistari?? Ndio wanamshauri jinsi ya kupanua soko lake na kuwa international?? Alifanyaga video na OGOPA ile kesho tayari akawa na soko la uhakika, akafanya video south akaanza kupata airtime channel o na MTV.. Akafanya colabo na davido akaingia sokoni Nigeria. Hayo yote hamyaoni mnaona ni Wema tu ndio kambeba..

Huyo kiba alikaa under the same roof na rkelly na wasanii wengine wakubwa wa Africa more than a month, then after that what happened?? Amekuja kupata akili baada ya diamond nae sasahivi angalau kapata airtime channel o. Lakini tukubali tu kama ulishakuaga on peak ukashuka kamwe huwezi rudi on peak.
 
Kwa bahat mbaya kiba ajawah kushuka
 
Back
Top Bottom