Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Oyoooooo,natamanije ningekua mmoja kati yao hapo?
Pop it in....
Mwanza apo watu oyooooo
Vp umeicheki mwana inavyotusua kwenye international TVs channel?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyoooooo,natamanije ningekua mmoja kati yao hapo?
Pop it in....
Sijacheki abou nipe habari njema
Nimeiona channel O Mara 2 then nikaiona Trace ya France
Oyooooo,haya ndio mambo tunayotaka sasa...tujiandae tu kupiga kura huko King akipata nominations
Yap tutavote Sana king tar 27 yupo London then tar 30 yupo Mombasa ,mapema January atakua FRANCE
Aisee..King yuko vizuri sasa.Usiseme kabisa kuhusu kupiga kura maana mimi nitafanya kufuru...na bado KTMA....lazima wakae tu.
Ujue tokea King atoe video sijaenda insta?nilisema nitasubiri papoe kwanza....ngoja sasa niende.
Pop it in....
Nenda tu japo kuna mburula wanadis c unajua awakosekan
Ndio atakuwa shortlisted!happy?nw Kufwa for us or pop it in!!
Mh,mie sjui kama alitembea nae.maana sio madam wala kiba mwenyewe aliyethubutu kutangaza mitandaoni na kuweka mapicha picha yao,ni utoto ati.
Nnachotaka kukuelewesha ni kwamba yaan lazima tujue kwanza anatoka na nani au kamfanyia nini aliyenae kabla hajatoa wimbo.kick za madem.
Duh!Kuna kipindi tulikua tunawashambulia balaa...zile show za fiesta,ila siku hizi siwezi sijui kwa nini...
Nimeshazoea JF sana
Sikiliza wewe mjinga,mimi naitwa nifah na sio mpenzi...sawa?
Huu ni utoto unaoufanya sasa maana nimeshakuona mara kibao tu sasa nasema koma kabisa kuniita hivyo.
Hivi unadhani unamuumiza au kumkomoa nani hapa kwa mfano?
Poleee.....mission failed
Nimekuuliza hao madem mpaka BET na MTV ndio wanaombeba?? Huo upuuzi wake wa nje muachie mwenyewe
KING KIBA'S FANS-
*kwanza jamaa yetu ni msani wa kweli sio wa mabox mpaka skendo.
*pili hatumringanishi na yeyote,tunapomsifia,kwetu sisi anaimba kuliko wengine.
*tatu sauti yake ina radha adimu sana,skilliza one 8 utagundua kelly aliona kitu akaamua aanze yeye.
*hachukui mademu maarufu,maana anajua kuwa hatafaidi,sababu wengi Wametumika sana.
*Ana nyota ya upinzani,ndio maana kila anachofanya anaonekana anaoppose, Kumbe laaa.anafanya kwa ajir ya watu
wake.
*tungo zake ni za kisanii haswaa,ndio maana ni nyimbo chache sana zinaeleweka na watoto wadogo (mali yangu).
*kwa sababu ya utulivu wake,busara na hekima-atakuwa baba na kaka bora Ambaye hatatafunwa na historia yake Siku zijazo,sioni hatari mwanangu Kumpenda kiba.
FOR US,U WILL BE A KING FOR EVER.
"K for reall"
Nimekuuliza hao madem mpaka BET na MTV ndio wanaombeba?? Huo upuuzi wake wa nje muachie mwenyewe
hahahaaa! niambie abou mimi mithi yu
Hauwezi ukauweka usanii wa jamaa yako mbali na skendo za mademu.hatasikika.
Yeye mwenyewe anajua hilo ndio maana haangalii status ya atakwayekwenda kudate naye,ili mradi atimize azma yake.
Watu hawatajishughulisha na privacy yako kama hujataka iwe hivyo.
Mkuu bado hujibu maswali yangu.. Hao mademu ndio wanamwandikia mistari?? Ndio wanamshauri jinsi ya kupanua soko lake na kuwa international?? Alifanyaga video na OGOPA ile kesho tayari akawa na soko la uhakika, akafanya video south akaanza kupata airtime channel o na MTV.. Akafanya colabo na davido akaingia sokoni Nigeria. Hayo yote hamyaoni mnaona ni Wema tu ndio kambeba..
Huyo kiba alikaa under the same roof na rkelly na wasanii wengine wakubwa wa Africa more than a month, then after that what happened?? Amekuja kupata akili baada ya diamond nae sasahivi angalau kapata airtime channel o. Lakini tukubali tu kama ulishakuaga on peak ukashuka kamwe huwezi rudi on peak.
Yap tutavote Sana king tar 27 yupo London then tar 30 yupo Mombasa ,mapema January atakua FRANCE