Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Muwe na weekend njemaa!!Project njema,ibada njema na kazi njema!!Pop it in for Kiba!!
 
Kwani ujaon nilivyosema ? Mi czimiki pale ni ICU
Je unapenda kuniona mi napotea atoto

hahaaaaa!!! mi cmjui wala ckuona so cant say anything, how can i wish kiba's fan mabaya??? never ever
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna jipya....imegeuka chichat mods fungeni tu huu uzi umepoteza maana. imekuwa sehemu ya kutakiana habari za asubuhi mara merry Xmas jamaa yenu hana jipya ni disappointment.
 
Hapa hakuna jipya....imegeuka chichat mods fungeni tu huu uzi umepoteza maana. imekuwa sehemu ya kutakiana habari za asubuhi mara merry Xmas jamaa yenu hana jipya ni disappointment.

Roho mbaya ya nini
Tukiigeuza chitchat inakuhusu nn?
 
hahaaaa!!! watu roho zitawachomoka mwaka huu, na bado, uzi wetu mtupangie cha kujadili khaaa!!! hujalazimishwa kuja huku ati, pitaaaaaa usiharibu hali ya hewa, Kiba katuunganisha ati, sasa unaumia nn kuona amani na upendo ulotawala humu ndani???
wanawake wengine bwana!! kamuandalie mumeo sikukuuu huko kazi kupuyanga tu kwa majirani.
 
Back
Top Bottom