Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaha Matola acha bhana, huku CCM tunaiondoa madarakani pia na upande wa pili tunaendelea kumsuport kingKiba. Hakuna kitakachoharibika.
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa, hivi na wewe ni gamba? Niwekeeni link zote nitazipandisha pale juu, tumeshaichoka ccm ndio maana huku nipo likizo kwa muda.

Hata King wetu hajawahi kuwa promoted na Mkwele, sasa tumeamuwa kuing'oa ccm kwanza madarakani mengine yatafuata.

Mkuu matola fanya uweke hizi link kwenye post ya KIBA pale juu...

AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS -http://www.africanentertainmentaward.com/nominees.html

AFRIMMA - Nominees 2015 |

●izo links nenda kwenye sehemu inayoenekana hapo chini kwa mshale huo...

2015-08-15_22.29.53.jpg

Kisha ingiza link moja moja kwa kila kitu kilichopo kama nilivyokiweka mie usipunguze wala kuongeza ili ziwe LIVE LINKS AMBAZO MTU AKIBONYEZA ZINAMPELEKA MOJA KWA MOJA KWENYE WEBSITE YA KUVOTE...USIZICOPY NA KUPASTE HAZITAKUWA LIVE LINKS.
 
Kiba na Neyo. Kazi mdundo
 

Attachments

  • 1439794246227.jpg
    1439794246227.jpg
    46.2 KB · Views: 111
namgharamia
 

Attachments

  • 1439844060070.jpg
    1439844060070.jpg
    28.9 KB · Views: 99
namgharamia
 

Attachments

  • 1439844532589.jpg
    1439844532589.jpg
    29.7 KB · Views: 103
  • 1439844555396.jpg
    1439844555396.jpg
    27 KB · Views: 101
  • 1439844588797.jpg
    1439844588797.jpg
    57.7 KB · Views: 100
  • 1439844614754.jpg
    1439844614754.jpg
    15.5 KB · Views: 99
mpendwa, hivi na wewe ni gamba? Niwekeeni link zote nitazipandisha pale juu, tumeshaichoka ccm ndio maana huku nipo likizo kwa muda.

Hata king wetu hajawahi kuwa promoted na mkwele, sasa tumeamuwa kuing'oa ccm kwanza madarakani mengine yatafuata.

matola acha kuzingua bhana nimeshakuwekea links mbona huziattach kwenye post yako pale juu?..kama ishu ni ukawa wote tupo pamoja lakini fanikisha hili kwanza...maana baada ya uchaguzi tutashindwa kuangaliana humu kwenye uzi wetu maana uchaguzi utapita alafu tutaanza kuletewa tambo nyingi hadi tukimbie uzi maana tunaweza kosa tuzo za kiba kwa kutofanya vitu vidogo tuu tena simple kabisa...fanya hivyo sasahivi ndugu!
 
Back
Top Bottom