AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best album of the year??? Ipi hiyo?? No hard feelings
Mpendwa, hivi na wewe ni gamba? Niwekeeni link zote nitazipandisha pale juu, tumeshaichoka ccm ndio maana huku nipo likizo kwa muda.
Hata King wetu hajawahi kuwa promoted na Mkwele, sasa tumeamuwa kuing'oa ccm kwanza madarakani mengine yatafuata.

Kiba na Neyo. Kazi mdundo
ulipotelea wapi ndugu?
Tuko na wagombea bana hahaha kidogo nje ya network
Kiba na Neyo. Kazi mdundo
kiba fans usiku mwema ngoja nirudi kwa lowassa
mpendwa, hivi na wewe ni gamba? Niwekeeni link zote nitazipandisha pale juu, tumeshaichoka ccm ndio maana huku nipo likizo kwa muda.
Hata king wetu hajawahi kuwa promoted na mkwele, sasa tumeamuwa kuing'oa ccm kwanza madarakani mengine yatafuata.
hahahaha mwaka wa #kingkiba asifanye makosa kabisa