Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo Nifa!!! Uliangalia The Sporah Show kipindi cha Clouds TV.Ali Kiba kipindi anaojiwa?Unajua nini aliongea.!!Mhhhhhhhh
Ukiona mtu anakimbilia kutukana basi jua kuwa umeshamshinda kwa hoja, sasa wanalazimisha kumlinganisha kiba na DIAMOND. DIAMOND yupo juu zaidi ya ali kiba kwa kila kitu japo kiba alianza siku nyingi na keshapitwa, bora waseme wanampenda tu kiba wataeleweka lakini sio kumlinganisha na DIAMOND.nimewacheki sana,nawaona ni watu 'aggresive' hawa watu wanatukana sanaaa wa na kutumia lugha kali kupitiliza kuna shida gani jamani?hasa hasa instagram
Ali Kiba anaamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini..Poa,hebu niambie.....aliongea nini?
Nilimiss hii show.
Kwahiyo hicho ndicho kilichokuchekesha sana hadi ukaja huku kunitafuta?Ali Kiba anaamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini..
Kama we fans wake unaamini kauli hii ya kiba kama ye msanii?
Oya vipi imetoka au umeipata kijanja tu?Alivyopendezaa
Waiteite marafiki zako
Baba mama yako waje
Waje wakuone ulivyopendezaa dah hii lupela ni shida na sauti flani amazing hivi (lupela) #lakumdinukum waliya din hii inaitwa #kingkiba
Any sec ,min ,or an hour lupela inatoka haizidi week ilikuwa itoke week hii sema kuna watu wanamtegea jamaa wamuharibie anasogeza mbeleOya vipi imetoka au umeipata kijanja tu?
Can't waitAny sec ,min ,or an hour lupela inatoka haizidi week ilikuwa itoke week hii sema kuna watu wanamtegea jamaa wamuharibie anasogeza mbele
Mwambie aache uwoga kama ngoma kali hua haiihitaji timing itatoboa 2"Any sec ,min ,or an hour lupela inatoka haizidi week ilikuwa itoke week hii sema kuna watu wanamtegea jamaa wamuharibie anasogeza mbele
Hiyo lupela inakuja lini tena?wenzako hilo tushalimaliza siku nyingi sana
![]()
Baada ya uongo unaofanywa na MTV eti aiyola ni video nzuri kuliko chekecha MWANA pacha wangu hatimae wamemuomba KIBA lupela iwe exclusive katika kituo chao ila KIBA kakataa #dua inafanya kazi
Anayetazama upepo na kuweweseka ni Diamond, kumbuka baada ya Kiba kurelease Nagharamia nae akaachia Utanipenda,sasa kasikia Kiba anataka kuachia Lupela kaanza kuweweseka.
Sisi wala hatuna pressure, tunawaangalia tu mnavyobabaika.