Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nimewacheki sana,nawaona ni watu 'aggresive' hawa watu wanatukana sanaaa wa na kutumia lugha kali kupitiliza kuna shida gani jamani?hasa hasa instagram
Ukiona mtu anakimbilia kutukana basi jua kuwa umeshamshinda kwa hoja, sasa wanalazimisha kumlinganisha kiba na DIAMOND. DIAMOND yupo juu zaidi ya ali kiba kwa kila kitu japo kiba alianza siku nyingi na keshapitwa, bora waseme wanampenda tu kiba wataeleweka lakini sio kumlinganisha na DIAMOND.
 
Ali Kiba anaamini kutoa nyimbo Mara kwa Mara ni kutojiamini..
Kama we fans wake unaamini kauli hii ya kiba kama ye msanii?
Kwahiyo hicho ndicho kilichokuchekesha sana hadi ukaja huku kunitafuta?
Huo ni mtazamo wake, tatizo watu mnapenda sana kujipa mamlaka ya kuwapangia wasanii/wanamuziki cha kufanya kisa tu ni shabiki wake.

Mimi namheshimu Kiba,nitabaki kama shabiki mtiifu kwake,sina mamlaka ya kumpangia zaidi ya kutoa maoni yangu katika kazi zake za kimuziki.
Hivyo basi,alichokisema kwangu ni sawa na sioni haja ya kupingana nae zaidi nasubiria kwa hamu hiyo Lupela.
 
Amekosea kutoa hiyo kauli, ubora wa msanii unapimwa kwa utunzi bora na tuzo. Wingi wa nyimbo ni kigezo cha ubobezi. Lugha nyingine ni upuuzi dhidi ya udhaifu (defencive mechanisms).

Maskini Kiba, kila umri wake unavyosonga mbele ndiyo busara zake zinapungua.
 
Alivyopendezaa
Waiteite marafiki zako
Baba mama yako waje
Waje wakuone ulivyopendezaa dah hii lupela ni shida na sauti flani amazing hivi (lupela) #lakumdinukum waliya din hii inaitwa #kingkiba
 
Alivyopendezaa
Waiteite marafiki zako
Baba mama yako waje
Waje wakuone ulivyopendezaa dah hii lupela ni shida na sauti flani amazing hivi (lupela) #lakumdinukum waliya din hii inaitwa #kingkiba
Oya vipi imetoka au umeipata kijanja tu?
 
Oya vipi imetoka au umeipata kijanja tu?
Any sec ,min ,or an hour lupela inatoka haizidi week ilikuwa itoke week hii sema kuna watu wanamtegea jamaa wamuharibie anasogeza mbele
 
Any sec ,min ,or an hour lupela inatoka haizidi week ilikuwa itoke week hii sema kuna watu wanamtegea jamaa wamuharibie anasogeza mbele
Mwambie aache uwoga kama ngoma kali hua haiihitaji timing itatoboa 2"
 
6ec5fb1d6c19d8eab185820448c12167.jpg

Lupela
 
80273a6fda2fcc2f20f0e3f1987f3f1d.jpg

Baada ya uongo unaofanywa na MTV eti aiyola ni video nzuri kuliko chekecha MWANA pacha wangu hatimae wamemuomba KIBA lupela iwe exclusive katika kituo chao ila KIBA kakataa #dua inafanya kazi
 
Hiyo Lupela inaonekana iko poa sana!
Ila kiba hivyo vistyle vyake vya kucheza vizuri....ananifurahishaga!
 
80273a6fda2fcc2f20f0e3f1987f3f1d.jpg

Baada ya uongo unaofanywa na MTV eti aiyola ni video nzuri kuliko chekecha MWANA pacha wangu hatimae wamemuomba KIBA lupela iwe exclusive katika kituo chao ila KIBA kakataa #dua inafanya kazi

Hao jamaa nao siku hizi kawaida sana wala hawana issue kiivo.
 
Anayetazama upepo na kuweweseka ni Diamond, kumbuka baada ya Kiba kurelease Nagharamia nae akaachia Utanipenda,sasa kasikia Kiba anataka kuachia Lupela kaanza kuweweseka.
Sisi wala hatuna pressure, tunawaangalia tu mnavyobabaika.

Hivi utanipendaga ile si kaswida au ni masikio yangu tu?!!
Mimi nahisi jamaa anaimba tu coz ndiko alikotokea na anapendwa tu sababu ya jina na umaarufu na pesa za kutolea video kali......vinginevyo hamna kitu pale!
 
Back
Top Bottom