cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Thanks.Tangu upelekewe moto umekuwa mcharoo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks.Tangu upelekewe moto umekuwa mcharoo sana
Acha upuuziSawa dida wa kumbi la barid tumekuskia
Ukiandika kwa nidhamu itakudhuru? Halafu jitahidi upuuzi wako kuuficha ili abaki mumeo pekee anayeufahamu.Chawa wa domokaya msijitoe ufahamu, basha wenu huko anaangukia pua mbele ya burna boy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Ukiandika kwa nidhamu itakudhuru? Halafu jitahidi upuuzi wako kuuficha ili abaki mumeo pekee anayeufahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imepenya vilivyo hadi kunako, poleeeh kwa kuteseka lol.Ukiandika kwa nidhamu itakudhuru? Halafu jitahidi upuuzi wako kuuficha ili abaki mumeo pekee anayeufahamu.
Hivi jukwaa la kikubwa liliondolewa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imepenya vilivyo hadi kunako, poleeeh kwa kuteseka lol.
HahahahKuna bindamu watakuja kusema kwani mwenyewe anasemaje?
Mond~Simba v Alikiba~KingkibaSio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.
Kwa muda mrefu kijana Ali Kiba amekuwa hatendewi haki na watanzania wenzake kwa maana ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwa akitwishwa mzigo mzito usiomstahili. Hii sio sawa. Kitendo cha wananchi walio wengi kumpambanisha kimuziki komredi Ali Kiba dhidi ya komredi Diamond Platnumz Simba, sio sawa na ni uvunjifu wa haki za binadamu.
Hii ni sawa na bondia wa uzito wa chini kumpambanisha na Twaha Kiduku. Komredi Simba kwenye tasnia yake ni kama nyangumi baharini. Ni mkubwa sana. Ni mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa hapa nchini. Ana rekodi ambazo ni ngumu komredi Ali Kiba kuzikaribia huko YouTube na maeneo mengine. Isitoshe kiuchumi komredi Simba ni mkubwa mno kufananishwa na King Kiba. Namna pekee ya komredi Kiba kumpita Simba kiuchumi ni kuwahi kulala ili ampite akiwa ndotoni. Kimsingi Ali Kiba hatendewi haki. Hii itasababisha komredi Kiba kupata msongo wa mawazo na kuanza kulipua kazi kwasababu ya presha za wananchi wanaotaka awe zaidi ya Simba.
Komredi Ali Kiba anamzidi Komredi Simba mambo machache sana kama vile sauti nzuri na utunzi wa mashairi yanayodumu. Ila kwa matokeo ya jumla Simba yuko mbali mno. Nadhani kwa sasa watanzania tuache huu ukatili. Ingependeza Komredi Ali Kiba apambanishwe na wanamuziki walio kwenye level moja kama Bill Nas, Meja Kunta, Nuh Mziwanda, Queen Darlin, Shishi Baby, Ben Paulo, na huyu Official Nai. Simba tumwache atuwakilishe level za dunia.
Ni kweli. Ninachokataa ni yeye kubebeshwa mzigo wa kwenda sawa na Simba.ninachomheshimu huyu ali kiba, nasema hili kutoka moyoni kabisa, ni ile hali ya utulivu alinayo na kuishi maisha yake. maneno kama haya nafikiri ni mwaka karibu wa 6 au 7 nayasikia tu. ajabu ni kuwa jamaa yuko vile vile na anaendelea kutoa vitu adimu kila anapoamua....matokeo yake sasa, wanaosema hamna kitu ndiyo wanaoongoza kumtajataja kila leo.
narudia, alikiba amekutwa na ataachwa.....muda utasema!!
FactTanzania nzima hakuna msanii mkubwa wa Bongi Flava kama Harmonize
Kuwa alishasema hashindani na mtu na kumaanisha ya kuwa hashindani na mtu ni vitu viwili tofauti kabisa, akili za kuambiwa ongeza na za kwako.Kwani usanii unapimwa kwa Nini? Huwezi Sema Mond anamshinda Kiba kama usanii unapimwa kwa muziki mzur pia Kiba hasindan na mtu yeye mwenyewe Alisha Sema
Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.