cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sijui kuhusu hilo mie.Hivi jukwaa la kikubwa liliondolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kuhusu hilo mie.Hivi jukwaa la kikubwa liliondolewa?
Jifariji kijana, ila iko wazi chibu ni levelsDomo anamzidi nini Kiba au Tunzo za Wanaijeria wabeba mabox Ulaya na US...Msanii mkubwa anapanga?Hotel yake ya kimiyayusho imeishia wapi..Mondi anaishi fake life..Kiba Yuko real..ndio maana kwenye Ile list ya vijana 100 wenye ushawishi Afrika hakuwemo
ninachomheshimu huyu ali kiba, nasema hili kutoka moyoni kabisa, ni ile hali ya utulivu alinayo na kuishi maisha yake. maneno kama haya nafikiri ni mwaka karibu wa 6 au 7 nayasikia tu. ajabu ni kuwa jamaa yuko vile vile na anaendelea kutoa vitu adimu kila anapoamua....matokeo yake sasa, wanaosema hamna kitu ndiyo wanaoongoza kumtajataja kila leo.
narudia, alikiba amekutwa na ataachwa.....muda utasema!!
Ni kweli. Ninachokataa ni yeye kubebeshwa mzigo wa kwenda sawa na Simba.
Mbona wote hawa si wanamuziki, wababaishaji tu.Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.
Kwa muda mrefu kijana Ali Kiba amekuwa hatendewi haki na watanzania wenzake kwa maana ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwa akitwishwa mzigo mzito usiomstahili. Hii sio sawa. Kitendo cha wananchi walio wengi kumpambanisha kimuziki komredi Ali Kiba dhidi ya komredi Diamond Platnumz Simba, sio sawa na ni uvunjifu wa haki za binadamu.
Hii ni sawa na bondia wa uzito wa chini kumpambanisha na Twaha Kiduku. Komredi Simba kwenye tasnia yake ni kama nyangumi baharini. Ni mkubwa sana. Ni mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa hapa nchini. Ana rekodi ambazo ni ngumu komredi Ali Kiba kuzikaribia huko YouTube na maeneo mengine. Isitoshe kiuchumi komredi Simba ni mkubwa mno kufananishwa na King Kiba. Namna pekee ya komredi Kiba kumpita Simba kiuchumi ni kuwahi kulala ili ampite akiwa ndotoni. Kimsingi Ali Kiba hatendewi haki. Hii itasababisha komredi Kiba kupata msongo wa mawazo na kuanza kulipua kazi kwasababu ya presha za wananchi wanaotaka awe zaidi ya Simba.
Komredi Ali Kiba anamzidi Komredi Simba mambo machache sana kama vile sauti nzuri na utunzi wa mashairi yanayodumu. Ila kwa matokeo ya jumla Simba yuko mbali mno. Nadhani kwa sasa watanzania tuache huu ukatili. Ingependeza Komredi Ali Kiba apambanishwe na wanamuziki walio kwenye level moja kama Bill Nas, Meja Kunta, Nuh Mziwanda, Queen Darlin, Shishi Baby, Ben Paulo, na huyu Official Nai. Simba tumwache atuwakilishe level za dunia.
Sema wewe!ninachomheshimu huyu ali kiba, nasema hili kutoka moyoni kabisa, ni ile hali ya utulivu alinayo na kuishi maisha yake. maneno kama haya nafikiri ni mwaka karibu wa 6 au 7 nayasikia tu. ajabu ni kuwa jamaa yuko vile vile na anaendelea kutoa vitu adimu kila anapoamua....matokeo yake sasa, wanaosema hamna kitu ndiyo wanaoongoza kumtajataja kila leo.
narudia, alikiba amekutwa na ataachwa.....muda utasema!!
Diamond Platnumz amemzidi kila kitu Ali Kiba kuanzia followers ,hit songs tuzo,pesa ,subscribers, utanashati ,watoto ,mademu wakali, dhambi nkSio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.
Kwa muda mrefu kijana Ali Kiba amekuwa hatendewi haki na watanzania wenzake kwa maana ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwa akitwishwa mzigo mzito usiomstahili. Hii sio sawa. Kitendo cha wananchi walio wengi kumpambanisha kimuziki komredi Ali Kiba dhidi ya komredi Diamond Platnumz Simba, sio sawa na ni uvunjifu wa haki za binadamu.
Hii ni sawa na bondia wa uzito wa chini kumpambanisha na Twaha Kiduku. Komredi Simba kwenye tasnia yake ni kama nyangumi baharini. Ni mkubwa sana. Ni mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa hapa nchini. Ana rekodi ambazo ni ngumu komredi Ali Kiba kuzikaribia huko YouTube na maeneo mengine. Isitoshe kiuchumi komredi Simba ni mkubwa mno kufananishwa na King Kiba. Namna pekee ya komredi Kiba kumpita Simba kiuchumi ni kuwahi kulala ili ampite akiwa ndotoni. Kimsingi Ali Kiba hatendewi haki. Hii itasababisha komredi Kiba kupata msongo wa mawazo na kuanza kulipua kazi kwasababu ya presha za wananchi wanaotaka awe zaidi ya Simba.
Komredi Ali Kiba anamzidi Komredi Simba mambo machache sana kama vile sauti nzuri na utunzi wa mashairi yanayodumu. Ila kwa matokeo ya jumla Simba yuko mbali mno. Nadhani kwa sasa watanzania tuache huu ukatili. Ingependeza Komredi Ali Kiba apambanishwe na wanamuziki walio kwenye level moja kama Bill Nas, Meja Kunta, Nuh Mziwanda, Queen Darlin, Shishi Baby, Ben Paulo, na huyu Official Nai. Simba tumwache atuwakilishe level za dunia.
Ila wee jamaa mkorofi sana japo umenena vyema. Kitu kingine king kiba anachomzidi simba ni umri. Kiba umri umeenda sana, age ya kina dully huyoSio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.
Kwa muda mrefu kijana Ali Kiba amekuwa hatendewi haki na watanzania wenzake kwa maana ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwa akitwishwa mzigo mzito usiomstahili. Hii sio sawa. Kitendo cha wananchi walio wengi kumpambanisha kimuziki komredi Ali Kiba dhidi ya komredi Diamond Platnumz Simba, sio sawa na ni uvunjifu wa haki za binadamu.
Hii ni sawa na bondia wa uzito wa chini kumpambanisha na Twaha Kiduku. Komredi Simba kwenye tasnia yake ni kama nyangumi baharini. Ni mkubwa sana. Ni mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa hapa nchini. Ana rekodi ambazo ni ngumu komredi Ali Kiba kuzikaribia huko YouTube na maeneo mengine. Isitoshe kiuchumi komredi Simba ni mkubwa mno kufananishwa na King Kiba. Namna pekee ya komredi Kiba kumpita Simba kiuchumi ni kuwahi kulala ili ampite akiwa ndotoni. Kimsingi Ali Kiba hatendewi haki. Hii itasababisha komredi Kiba kupata msongo wa mawazo na kuanza kulipua kazi kwasababu ya presha za wananchi wanaotaka awe zaidi ya Simba.
Komredi Ali Kiba anamzidi Komredi Simba mambo machache sana kama vile sauti nzuri na utunzi wa mashairi yanayodumu. Ila kwa matokeo ya jumla Simba yuko mbali mno. Nadhani kwa sasa watanzania tuache huu ukatili. Ingependeza Komredi Ali Kiba apambanishwe na wanamuziki walio kwenye level moja kama Bill Nas, Meja Kunta, Nuh Mziwanda, Queen Darlin, Shishi Baby, Ben Paulo, na huyu Official Nai. Simba tumwache atuwakilishe level za dunia.
Fasihi ya hatari..!!Sio mpenzi sana wa kutoa maoni yangu kwa mambo madogo madogo hasa yasiyo ya lazima kama mambo ya muziki na filamu. Ila leo nimeona sio vibaya kusema kitu kwa huu uonevu unaondelea kwa komredi Ali Kiba. Mimi ni mpenda haki kwahiyo nimeona sio sawa kukaa kimya mtu anapoonewa.
Kwa muda mrefu kijana Ali Kiba amekuwa hatendewi haki na watanzania wenzake kwa maana ya wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Amekuwa akitwishwa mzigo mzito usiomstahili. Hii sio sawa. Kitendo cha wananchi walio wengi kumpambanisha kimuziki komredi Ali Kiba dhidi ya komredi Diamond Platnumz Simba, sio sawa na ni uvunjifu wa haki za binadamu.
Hii ni sawa na bondia wa uzito wa chini kumpambanisha na Twaha Kiduku. Komredi Simba kwenye tasnia yake ni kama nyangumi baharini. Ni mkubwa sana. Ni mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa hapa nchini. Ana rekodi ambazo ni ngumu komredi Ali Kiba kuzikaribia huko YouTube na maeneo mengine. Isitoshe kiuchumi komredi Simba ni mkubwa mno kufananishwa na King Kiba. Namna pekee ya komredi Kiba kumpita Simba kiuchumi ni kuwahi kulala ili ampite akiwa ndotoni. Kimsingi Ali Kiba hatendewi haki. Hii itasababisha komredi Kiba kupata msongo wa mawazo na kuanza kulipua kazi kwasababu ya presha za wananchi wanaotaka awe zaidi ya Simba.
Komredi Ali Kiba anamzidi Komredi Simba mambo machache sana kama vile sauti nzuri na utunzi wa mashairi yanayodumu. Ila kwa matokeo ya jumla Simba yuko mbali mno. Nadhani kwa sasa watanzania tuache huu ukatili. Ingependeza Komredi Ali Kiba apambanishwe na wanamuziki walio kwenye level moja kama Bill Nas, Meja Kunta, Nuh Mziwanda, Queen Darlin, Shishi Baby, Ben Paulo, na huyu Official Nai. Simba tumwache atuwakilishe level za dunia.
Hadi dhambi? Kwa hiyo kwenye utakatifu Kiba kamzidi Mondi..!!?Diamond Platnumz amemzidi kila kitu Ali Kiba kuanzia followers ,hit songs tuzo,pesa ,subscribers, utanashati ,watoto ,mademu wakali, dhambi nk