Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

Sawa dida wa kumbi la barid tumekuskia
 
Chawa wa domokaya msijitoe ufahamu, basha wenu huko anaangukia pua mbele ya burna boy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiandika kwa nidhamu itakudhuru? Halafu jitahidi upuuzi wako kuuficha ili abaki mumeo pekee anayeufahamu.
 
Ukiandika kwa nidhamu itakudhuru? Halafu jitahidi upuuzi wako kuuficha ili abaki mumeo pekee anayeufahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imepenya vilivyo hadi kunako, poleeeh kwa kuteseka lol.
 
Kuna bindamu watakuja kusema kwani mwenyewe anasemaje?
 
ninachomheshimu huyu ali kiba, nasema hili kutoka moyoni kabisa, ni ile hali ya utulivu alinayo na kuishi maisha yake. maneno kama haya nafikiri ni mwaka karibu wa 6 au 7 nayasikia tu. ajabu ni kuwa jamaa yuko vile vile na anaendelea kutoa vitu adimu kila anapoamua....matokeo yake sasa, wanaosema hamna kitu ndiyo wanaoongoza kumtajataja kila leo.

narudia, alikiba amekutwa na ataachwa.....muda utasema!!
 
Mond~Simba v Alikiba~Kingkiba
Hiyo Ligue haina ukomo kama Ligue ya nani zaidi kati CR7 v Messi10

Simba atabaki kuwa Simba tu kamwe hawezi kuwa kama Kingkiba.

Kadhalika: Kingkiba tabaki kuwa mfalme na Simba atabaki kuwa Mnyama mkali kuwahi tokea bongo.

So, wanaomkubali Simba watabaki wanamkubali na wanaomkubali Kingkiba watabaki wanamkubali mfalme wao.

Lakini, pia huwezi kujaji ubora wa kitu bila kulinganisha na kingine, hivo mashabiki Wana nafasi ya kufanya hivo

Mfano: huwezi kuzungumzia ubora wa mnyama CR7 ktk utengano sambamba na Messi10 the magician bali utaongea ubora wa CR7 kwa ulinganifu sambamba dhidi ya ubora wa Messi10.

Namalizia kwa misemo ifuatayo:
1.Ukali wa jembe huonekana shambani".
2.Ukiona vyaelea jua vimeundwa"
3."Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza"
4."Na mti wenye matunda ndiyo hurushiwa mawe"

I rest my case
 
Hivi mtu unapi mpigania,kumlilia msanii
Spate maslahi yake we utapata faida gani????

Ova
 
Ni kweli. Ninachokataa ni yeye kubebeshwa mzigo wa kwenda sawa na Simba.
 
Kwani usanii unapimwa kwa Nini? Huwezi Sema Mond anamshinda Kiba kama usanii unapimwa kwa muziki mzur pia Kiba hasindan na mtu yeye mwenyewe Alisha Sema
 
Kwani usanii unapimwa kwa Nini? Huwezi Sema Mond anamshinda Kiba kama usanii unapimwa kwa muziki mzur pia Kiba hasindan na mtu yeye mwenyewe Alisha Sema
Kuwa alishasema hashindani na mtu na kumaanisha ya kuwa hashindani na mtu ni vitu viwili tofauti kabisa, akili za kuambiwa ongeza na za kwako.
 

Mpaka unamuwaza na kumuandika Kiba, umekamatika

Pole haukutegemea

nyie ndio wenye chuki za bluetooth
 

diamond

kama anakomaa kutafuta views 4m na ukubwa wake, mjue ashakwisha huyo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…