Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

Domo anamzidi nini Kiba au Tunzo za Wanaijeria wabeba mabox Ulaya na US...Msanii mkubwa anapanga?Hotel yake ya kimiyayusho imeishia wapi..Mondi anaishi fake life..Kiba Yuko real..ndio maana kwenye Ile list ya vijana 100 wenye ushawishi Afrika hakuwemo
 
Jifariji kijana, ila iko wazi chibu ni levels
 
Clouds media ndo walitaka iwe hvyo,sasa wamehamia kwa konde boy
 
Ugali wako unaupata kwa nguvu sana jomba hushirikishi kabisa
 

Ali kiba anafanya music natural, maisha halisia na ana upenda
hana upepo wa msimu na anabuni vitu vipya

huyu yupo muda mrefu sana kwenye music mpaka uzee wake!!!! na ndio tatizo linaanzia hapo, atakuwepo tu, na ana washabiki loyal mno
 
Mbona wote hawa si wanamuziki, wababaishaji tu.
 
Sema wewe!
 
Diamond Platnumz amemzidi kila kitu Ali Kiba kuanzia followers ,hit songs tuzo,pesa ,subscribers, utanashati ,watoto ,mademu wakali, dhambi nk
 
Ila wee jamaa mkorofi sana japo umenena vyema. Kitu kingine king kiba anachomzidi simba ni umri. Kiba umri umeenda sana, age ya kina dully huyo
 
Fasihi ya hatari..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…