Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiulizwa maana ya content sidhani hata unajua. Kukariri kubaya sana.Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.
Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content. Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.
Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.
Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content. Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.
Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
Ujatukana = hujatukana, sio = siyo. Ndiyo maana nikakwambia hata maana ya content hujui.Duh leo ujatukana matusi sio malezi tuliyozoea kukuona nayo
Joh hawezi iba watangazaji toka media ya familia awapeleke vichochoroni. Huwezi ona mtamgazaji anatoka clouds anaenda Wasafi si bahati mbayaHiyo media ni startup ya Kusaga. Jo Kusaga slowly anaachana na Clouds ambayo ni ya clan ya akina Kusaga. Biashara ya ndugu hataki.
Aisee! Mwinjaku nae ananunuliwa kwenda kupandisha hadhi ya redio?..Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza.
Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina content.
Hao watangazaji wa kuiba kwa wengine ili mtengeneze story mjikane walimdodea Majizzo kina B 12, Jonijo, Masanja nk walitengeneza mbwembwe ila wapi waliishia.
Tafuta content hao rejects hawatasaidia lolote kama huna content. Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
Mkuu naomba nikusahihishe. Siyo si Kiswahili sahihi. Ni sio. Ndiyo pia si sahihi ni ndio. Hayo alinisahihisha mtaalamu member KirangaUjatukana = hujatukana, sio = siyo. Ndiyo maana nikakwambia hata maana ya content hujui.
Asante sana kwa ushauri mkuu. Mhh.. japo sina uhakika lakini sidhani. Nitafanya utafiti zaidi lakini mimi nadhani ni ndiyo na siyo. Kumeshawahi kuwa na mada hapa JFMkuu naomba nikusahihishe. Siyo si Kiswahili sahihi. Ni sio. Ndiyo pia si sahihi ni ndio. Hayo alinisahihisha mtaalamu member Kiranga
Radio zote tatu wasafi,clouds na crown boss wake ni mmoja KUSAGA...... Mwijaku kutoka clouds kwenda crown.hana effect Kwa cloudsKwani unamsaidia kulipa kodi ya kurusha matangazo Mkuu?
Muache na drama zake na redio yake. Uwekezaji ni wake anajua anachokifanya.
Unamwibia Kusaga Mwinjaku? Akikasirika alipe kisasi utabaki na radio kweli?
Naujua huo uzi. Walipotoshana wengi. Kiranga ni udisputed. Aliponisahihisha niliafikiana naye, na nikajiridhisha zaidi kutoka kwa mtaalam wa Kiswahili.Asante sana kwa ushauri mkuu. Mhh.. japo sina uhakika lakini sidhani. Nitafanya utafiti zaidi lakini mimi nadhani ni ndiyo na siyo. Kumeshawahi kuwa na mada hapa JF
Tofauti ya neno "ndio" na "ndiyo"
Haya sasa wale wakali wa kiswahili waje wanipe tofauti kati ya neno "ndio" na "ndiyo"www.jamiiforums.com
Najua unatafuta uhakika radio ni ya nani sasa nakwambia radio si ya joh kuna mzenj na kikeke kapiga helq zake za mafao. Joe hawezi ibomoa radio ya ukoo hata siku moja msidanganywe na wapiga ramliRedio ni ya Joe, hapo kafanya kuhamisha resource...