Sisi tunamshukuru sana #Davido kwa kumfanya #DiamondPlatnum awe maarufu Africa.
Na pia tunamshukuru #Davido kwa kumfanya Diamond platnumz awe na #Followers kibao.
Kama wewe kilaza, basi waliobak matandiko.
Team kimba hamna tofauti na kibakuli, unasifia ujinga tu hapo kisa mahabaniuwe kama hivyo kwanini alalamike wasanii wenzake hawampost insta kama wanavyosupport wengine????
Isitoshe haweziongea twitter ndio kawafollow unajuwa kawafollow wangapi kule?? hata 100 hawafiki bichwa anajiona sana wakati hata nyumba tu ya kupanga anatembelea noah hahahaha, angekuwa level za diamond sijui ndio ingekuwaje??
Majibu ya kisomi kabisa utadhani profesa wa Oxford au Cambridge University ndo kajibu, lakini angekuwa yule jirani yetu ungesikia sijui ambaye sijamfolow akale ndimu yan full majibu ya kiswahili.
Asante mfalme Kiba.
#Rockstar4000
We love you Kiba
Sio lazima kwako ww lkn kwa msanii mkubwa kama kiba na kazi yake ya mziki ilibidi afollow baadhi ya watu kama wasanii wenzake kwa ajili ya mziki wake na kuwa updated na wenzake nn wanafanya.
Licha ya kuwa na mashabiki wote hao, mbona hawajampigia kura #KTMA Ili ashinde ...?
Msanii unatakiwa uwe na Mashabiki wanaitwa #ROYALS..... Huenda hata wewe hukumpigia kula #KTMA alafu ukajiita eti #TimDiamond.
Pamoja na takwimu zote ulizozitoa, hujui kwamba #AliKiba ajajichukulia mashabiki wa kimataifa.
Yaani hao ni wa hapa #Bongo tu. Sasa akiamua kuwakomba mashabiki wa kimataifa si ndio itakuwa balaa.
Tumia akili hata kidogo basi.
Team nini?
Lugha za kukera kama hizi muwe mnazikumbuka.
Haumpendi Ali Kiba lakini cha kushangaza wote mpo humu kwenye uzi maalumu wa AliKiba......!
Mbona uzi wa Diamond Hatujafikia hata nusu ya uzi wa AliKiba.....?
Ni kwasababu huyu kijana anakubalika sana. Hata kama humkubali lakini ndani ya moyo unapenda sana.
Ndio maana wengi wenu mko humu.
#AliKiba hatumii jitihada nyingi kuvuta mashabiki ila Mashabiki wenyewe wanakuja kwake.
Team nini?
Lugha za kukera kama hizi muwe mnazikumbuka.
Maisha yake na anajua nini anafanya.
Sio lazma amfollow mtu.
Amefanya kile alichoona ni best kwake. Ana uhuru wa kufanya chochote.
Kiba gooo usiangalie wanachosema binadamu hatuishiwagi ya kusema hata angefollow watu bado tungeanza kuangalia mbona hajamfollow fulani na fulani.
Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana na hatakaa aridhike.
Ha ha ha ha mmhUna akili wewe. Katka team yenu yoote
Hapo mashabiki maandazi wanasema ana akili sana mmh mahaba yakizidi inakua ujinga tehSocial networks ndio platform pekee ya kutengeneza connections na mafans wake. Hawa wasanii wanatakiwa kuwa na advisors wazuri. Ona sasa alichosema huyu!!
Hapa ndipo akili zako zinapokosa akili . Haya si mahaba wala ushabiki, ni ujinga. Na usifikiri waonekana mjanja au una mahaba ya kufa!? Hapana. Unaonekana kituko mbele ya waerevu.
UKUE NA UKOMAE, MLIOKOSA MFUMO RASMI WA TAALUMA. TUMIENI FURSA YA KUWEPO HAPA JF KUJITAMBUA.
Mi sijaelewa mantiki ya majibu ya king ebu wanaosema amejibu kisomi mnieleweshe amemaanisha nini? Cc. Shardcole