Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Nilidhani ni mimi peke yangu ambaye sijaelewa. Amejibu kindezi sana. Ali Kiba anajisikia sana, hata ukimuona anavyoongea anaonekana ni mtu wa aina gani. Hata kina Drake, Niki Minaj wana follow watu, huyu ni nani asiefollow watu?
safi sana mkuu!...umempa za uso!
tatizo humu kuna hadi 'mahausigelo' sidhani kama atakuelewa,ila bonge la ushauri umempa!
+Kina nani hao unaofanya nao kazi wengi mpaka ushindwe kuwafollow, au hujui wewe kama msanii kudeal na social networks ni sehemu ya kazi yako?Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao
+mmh KingKiba watu gani hao wa media waliokushauri usifolo watu teh teh au waandishi wa globallakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu
+duh hii kali kwa hiyo kwa kutokufolo watu ndo utajipromote vizuri zaidi? kivipi yaani mkuu kiba sijakuelewa hapa ujuena vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja
+kwa hiyo ukifolo watu muhimu hautaconcentrate Mkuu kivipi yaani?ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha
Kila mtu na life style lake
Sawa mkuu .... Imenibidi niende hadi huko IG mbona naona anatoa some credit kwa ku-tag na repost ama na hii haitoshi?
Sijaona tatizo la kuto-follow sababu hajawam-follow hata mdogo ake (ila sina hakika kama yupo IG)
Kirefu cha IG ni nini mkuu
Ni kulingana na umaarufu wake
Tusianze mambo yakunationalize watu kwamba huyu ni mzungu basi afanye hiki na huyu ni mwafrika basi afanye hiki,
ingekuwa ni hivyo basi ungeanza kuwakataza hao mabidada wanaovaa kama wazungu huko mitaani (nusu utupu)
na hii ndio maana ya grobalized world, kitu anachokifanya Chriss brown nae Alikiba anaweza fanya.
Wameishacopy sana mambo wanayofanya hao unaowaita wazungu yet they're Black,
Mavazi, Miziki na Tamaduni pia sasa kwanini wasifanye kama hili alilolifanya Kiba ?
Kwa swala lakucategorize btn black and white kwangu mimi haliwezi kufanya point zako ziwe Legitimacy.
Kwasabu kafanya mtanzania ndomana wengi wanachonga sana, suo labda kwasababu zakijinga tu kama kujiona mjinga yule anaemfollow, bali pia na Chuki binafsi zilizo ndani ya mioyo yao.
+No mkuu kwa utetezi huu unampoteza Ali, yaani kwa levo gani ya mziki wa bongo tuliofukia mpaka wasanii wetu waanze kuiga nyodo za wasanii wa marekani? Msanii kama lil Wayne anaweza hata akazitukana media lakini akitoa single leo hii dunia nzima itajua!
+halafu kumbuka sio kila kitu kinachofanywa na wasanii watukutu wa marekani kinafaa kuigwa, mfano marekani kuna wasanii mashoga, haya na wewe msanii wa bongo utaiga eti kwa sababu hakuna limitation ya kuiga vitu?
+mnatetea tu kuiga vitu visivyo na faida bila kulinganisha na situation yetu ya bongo,
+embu kabla ya kutetea jiulize kati ya msanii kufolo watu muhimu kwenye industry ya muziki na kutokufolo kipi kina faida zaidi?
+Embu nipe faida ya kuacha kufollow watu kwa msanii anayestruggle kufanikiwa zaidi kama Kiba. Nini faida yake?
Jaribu kutumia hiyo hiyo akili ndogo kufikiria,
-We unadhani Alikiba haoni faida zakutokufollow watu ?
-Angekuwa anaona haina faida si angeanza kuwafollow basi.
-Kila mtu anafanya kitu kwa muono wake yeye, faida unazozipata wewe kwenye kitu flani sio lazma zilingane na mimi.
-Faida zake muulize alikiba mwenyewe,
Ila faida mojawapo ni kama hii hapa mnayopoteza muda kukuza jina lake kwamba hafollow watu, kumbe ndivyo anavyoongeza fans.
we kinabo umetumwa?????
hakuna aliyenituma mkuu,ila mmezidi sana kusimanga na kumtuka kiba.yani huwa najisikia vibaya sana nikiona mtu anamkatisha tamaa kiba.why why this every day jamani.
Embu tumpe moyo na tupende kazi zake,ili azidi kutupa vitu vizuri,lakini tukianza kumsimnga yakwamba hawezi au sijui anaiga au anajitutumua ili aonekane kama fulani.
Please tusifanye ivyo hata kama humpendi.
I love u kiba ,na nitakutetea popote pale nitakapo kuwepo.
unafikiri kwanini ni yeye??
Anajiona sana tatizo, alianzisha ye mwenyewe mara oooh kizuri kikikosekana kibaya kinaonekana kizuri, nimekuja kufuta vumbi kiti changu, king is back maneno ya shombo kinoma mtu mwenyewe uwezo hana...
Mziki wa tanzania unatambulika afrika na baadhi ya maeneo duniani kupitia diamond, lakini hata siku moja hajawahi kuongea shombo hizo kuwa yeye ndio king na hakuna anayemfikia....
Atasugua sana bench asipobadilika, mafanikio hayaji kimagumashi kihivyo coz hii attention anayopata kutokana na bifu itaisha sio mda coz mpaka sasa kashashindwa kuvaa hata namba 2 ya ukali tz