playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Umpe PROMO ALI KIBA?..University promo au?..hahahahaaaa hiyo ni style yake na si lazima umfollowHyo ni mistake ambayo kiba kafanya na awezi ikubali ni kuto Kufollow hata msanii mwenzake ths Y hawampi promo kiviile. Et ili a concentrate kwa fans wake did tht make sense? How? anareply comments za fans au ni kuwa karibu kivipi.
Ningependa kama angefollow watu wengine.
Publicity is money...
Safi... Semeni wenyewe.
Utter nonsense ,ningekuwa nimemfollow kiba mara moja ningemu_unfollow,in a maana wanaom follow ni wapumbavu?
Hahahahaaa ulikutana nae wapi kumshauri?Huyu dogo mi nimeshaishiwa la kumshauri. Nimesema yoteee.
Ni wa kuacha tu, maana HAMNA NAMNA. Tumechoka.
poleni team yake.
pumba tupu bichwa, mbona kwenye twitter kachagua wa kuwafollow?? kiazi akisoma hapo anaona sawa tu....
Hata hivyo msanii anaeongoza kuinterfere na fans wake diamond kawafollow wanaomsupport anareply na kilike pic zao na ndio maana likitokea tukio la chibu lazima wengi wamsupport kama ni usawa kusema wengine watakupa lawama mbona wakina davido anefollow watu zaidi ya elfu mbili na still haimzuii kuzisoma comments ni vitu viwili tofauti....
Bt mnamfuatilia kila siku na kumlinganisha na huyo mnaemuona ana akili TIMU MOND MNAKWAMA WAPI MBONA ANAWAUMIZA SANA HUYU MTU?..SIJAWAH SIKIA MOND NA JUX WALA BEN POL KILA MKILALA MKIAMKA NI DOMO NA KIBA TUUUUUU....ANAWASHIKA PABAYA SANA HUYU MTU hahahahahatatizo bichwa ana principle za kizamani sana na kibaya fans wake nao viazii tu wanashindwa kumshauri anapoenda wrong ndio màana shows hakuna akipata koridoni au fiesta shows za laki nane wanaishia kusema chibu mashauzi / mchawi hahahahahahahaha
kuna asiyejuwa umuhimu wa kujichanganya na wenzake hasa friends of benefit??? Anaishia kuponda kwenye media kwanini watu hawampost 4real men shiiiiiiiiiiiiit
TeamAvatar yko
Ajasoma entrepreneurship huyu mziki ni biashara na biashara lazima ujenge Network/Connection na wenzako" kuto kufollow mtu is just like mtu amekupa hi then ukakausha. Act lke u dnt c. Nadhani aliingia iG kipindi kile anafuta vumbi kiti chake na Mwana iko hot bichwa likavimba aka unfollow watu wote
Si ndo hapo nashangaa wanateseka na nini hawa watu.Kwani ku-follow mtu/watu ni lazima? Kila mtu ana maamuzi yake Katika utumiaji wa account yake
Majibu ya ajabu na yasiyokuwa na maana. Anajisikia na kunata sana huyu jamaa. Ndo maana anaishia kuwa levels za barnaba.
Na hao fans wake wajinga sana.
Sio lazima kwako ww lkn kwa msanii mkubwa kama kiba na kazi yake ya mziki ilibidi afollow baadhi ya watu kama wasanii wenzake kwa ajili ya mziki wake na kuwa updated na wenzake nn wanafanya.
Kule mimi ndo kilaza.
You can imagine.
We UNAATHIRIKA NA NINI KWANI?Unapo jiona bora kuliko mwenzako ndipo mwanzo wa kuwa na kiburi,dharau na jeuri na hicho ndio anacho kifanya huyu alikiba asipo badilika atakuwa msanii wa ndondo miaka yote
Huyo wa ndimu yeye ni Profesa wa Harvard University.
Achana na ya uprofesa maana unaonekana unaandika tu na kumshusha kiba.
Hili jibu ni pumba at its best... Hivi kuwa karibu na mashabiki inahitaji kuwafollow au kutowafollow!!!!
Anyweiz maana account ni yake na hakuna wa kumpangia basi afanye anavyotaka ... Kwa sababu kuna watu wenye followers milioni 20 (fanbase kubwa zaidi yake) huko ila wanafollow watu sembuse yeye mwenye 326k
Imekuwa kubwa sasa kuna KINGS MUSIC umeaharud bongo au bado UPO SUDANI KUSINI hahahahaaaHivi ile kiba square iliishiaga wapi, au kaka njaa imemkamata kaamua kuwa single bwaay
Mbona unatumia ngozi kufikiri...?
Hebu Pitia social media za Beyonce alafu uje utuambie kama alichokifanya huyu kijana ni kipya Duniani.
Ala!