Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Hyo ni mistake ambayo kiba kafanya na awezi ikubali ni kuto Kufollow hata msanii mwenzake ths Y hawampi promo kiviile. Et ili a concentrate kwa fans wake did tht make sense? How? anareply comments za fans au ni kuwa karibu kivipi.
Umpe PROMO ALI KIBA?..University promo au?..hahahahaaaa hiyo ni style yake na si lazima umfollow
 
Tuseme nn?..ww ulowafolow watu na kiba ambae hajafollow mtu nan yupo known publically?..yani ukapime publicity ya Ali Kiba insta?..anajulikana since hakuna huo upuuz wa insta
Safi... Semeni wenyewe.
 
Kila mtu ana life style yake kaka USIFOSI MFANANO...kwani davido nan?..
pumba tupu bichwa, mbona kwenye twitter kachagua wa kuwafollow?? kiazi akisoma hapo anaona sawa tu....

Hata hivyo msanii anaeongoza kuinterfere na fans wake diamond kawafollow wanaomsupport anareply na kilike pic zao na ndio maana likitokea tukio la chibu lazima wengi wamsupport kama ni usawa kusema wengine watakupa lawama mbona wakina davido anefollow watu zaidi ya elfu mbili na still haimzuii kuzisoma comments ni vitu viwili tofauti....
 
tatizo bichwa ana principle za kizamani sana na kibaya fans wake nao viazii tu wanashindwa kumshauri anapoenda wrong ndio màana shows hakuna akipata koridoni au fiesta shows za laki nane wanaishia kusema chibu mashauzi / mchawi hahahahahahahaha

kuna asiyejuwa umuhimu wa kujichanganya na wenzake hasa friends of benefit??? Anaishia kuponda kwenye media kwanini watu hawampost 4real men shiiiiiiiiiiiiit
Bt mnamfuatilia kila siku na kumlinganisha na huyo mnaemuona ana akili TIMU MOND MNAKWAMA WAPI MBONA ANAWAUMIZA SANA HUYU MTU?..SIJAWAH SIKIA MOND NA JUX WALA BEN POL KILA MKILALA MKIAMKA NI DOMO NA KIBA TUUUUUU....ANAWASHIKA PABAYA SANA HUYU MTU hahahahaha
 
So network ipo INSTA tu?
Ajasoma entrepreneurship huyu mziki ni biashara na biashara lazima ujenge Network/Connection na wenzako" kuto kufollow mtu is just like mtu amekupa hi then ukakausha. Act lke u dnt c. Nadhani aliingia iG kipindi kile anafuta vumbi kiti chake na Mwana iko hot bichwa likavimba aka unfollow watu wote
 
He KUMBE MNAJUA KAMA MSANII MKUBWA?..ahsante kwa taarifa
Sio lazima kwako ww lkn kwa msanii mkubwa kama kiba na kazi yake ya mziki ilibidi afollow baadhi ya watu kama wasanii wenzake kwa ajili ya mziki wake na kuwa updated na wenzake nn wanafanya.
 
Kawaida yangu instagram kama mtu haja mfollow hata ndugu yake uwa simfollow.
nimfollow wa nini sasa?
 
Kwa maoni yako anamshusha...nyie mnavyomponda kila siku ndo MNAMPANDISHA??..Kunguru
Huyo wa ndimu yeye ni Profesa wa Harvard University.

Achana na ya uprofesa maana unaonekana unaandika tu na kumshusha kiba.
 
326k JIPE MOYO.
Hili jibu ni pumba at its best... Hivi kuwa karibu na mashabiki inahitaji kuwafollow au kutowafollow!!!!

Anyweiz maana account ni yake na hakuna wa kumpangia basi afanye anavyotaka ... Kwa sababu kuna watu wenye followers milioni 20 (fanbase kubwa zaidi yake) huko ila wanafollow watu sembuse yeye mwenye 326k
 
Hawa roho si inawauma kwamba KING hajafollow mtu na akaunt imenona followers angefanya DOMO wangemsifu...KIBA ANAJUA KUWAUMIZA HAWA JAMAA SIJAWAHI ONA...
Mbona unatumia ngozi kufikiri...?

Hebu Pitia social media za Beyonce alafu uje utuambie kama alichokifanya huyu kijana ni kipya Duniani.

Ala!
 
Back
Top Bottom