Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Hivi ile kiba square iliishiaga wapi, au kaka njaa imemkamata kaamua kuwa single bwaay
 
Alikiba ni MWANAUME. Nashindwa kukuelewa unavyo sema asizae hovyo hovyo.

Je ulitaka aje kuzaa na wewe?
Nami namkubali kuwa anamkimbiza mwenzake ili nae afanikiwe, hiyo ni nzuri. Ushauri wangu kwake awajengee watoto zake na aache kuzaa hovyo hovyo.
 
Mbona unatumia ngozi kufikiri...?

Hebu Pitia social media za Beyonce alafu uje utuambie kama alichokifanya huyu kijana ni kipya Duniani.

Ala!
Hopeless...
Chris Brown mwenyew anawa'follow watu ina maan han akil au sio maarufu zaid ya huyu!!!
 
Mbona anafollow wasanii wenzake kupitia twitter?

Sasa wewe unataka nini cha ziada.?

Hyo ni mistake ambayo kiba kafanya na awezi ikubali ni kuto Kufollow hata msanii mwenzake ths Y hawampi promo kiviile. Et ili a concentrate kwa fans wake did tht make sense? How? anareply comments za fans au ni kuwa karibu kivipi.
 
Hebu jaribu hata kutumia robo ya ubongo wako katika kufukiria hata kidogo.!

Amesema kwamba hutumia sana insta kama platform ya kuwasiliana sana na kwa kiasi kikubwa na mashabiki wake.....! Ukilinganisha na social platform nyinginezo.
pumba tupu bichwa, mbona kwenye twitter kachagua wa kuwafollow?? kiazi akisoma hapo anaona sawa tu....
....
 
Hebu jaribu hata kutumia robo ya ubongo wako katika kufukiria hata kidogo.!

Amesema kwamba hutumia sana insta kama platform ya kuwasiliana sana na kwa kiasi kikubwa na mashabiki wake.....! Ukilinganisha na social platform nyinginezo.

Team kimba hamna tofauti na kibakuli, unasifia ujinga tu hapo kisa mahabaniuwe kama hivyo kwanini alalamike wasanii wenzake hawampost insta kama wanavyosupport wengine????

Isitoshe haweziongea twitter ndio kawafollow unajuwa kawafollow wangapi kule?? hata 100 hawafiki bichwa anajiona sana wakati hata nyumba tu ya kupanga anatembelea noah hahahaha, angekuwa level za diamond sijui ndio ingekuwaje??
 
Haumpendi Ali Kiba lakini cha kushangaza wote mpo humu kwenye uzi maalumu wa AliKiba......!

Mbona uzi wa Diamond Hatujafikia hata nusu ya uzi wa AliKiba.....?
Ni kwasababu huyu kijana anakubalika sana. Hata kama humkubali lakini ndani ya moyo unapenda sana.

Ndio maana wengi wenu mko humu.

#AliKiba hatumii jitihada nyingi kuvuta mashabiki ila Mashabiki wenyewe wanakuja kwake.
 
Umenichekesha unaongelea uzi kuwaje? Hivi uzi unaingiza bei gani nilikuwa sijui ndugu.

Mashabiki hata apate trillion kitu ni sie wapenda muziki tunataka kuona kazi na matunda yake, sio ilivyo sasa hapana kabisa.

Nahamu ya kujua kideo hiki kipya kimeanza kumwingizia sh ngapi maana hata fans wengine wasiomkubali watazoofika kwa wivu.
 
Kachamba kuliko watu wote duniani. Mwenyewe OBAMA ka follow watu kibao tu
 
Haumpendi Ali Kiba lakini cha kushangaza wote mpo humu kwenye uzi maalumu wa AliKiba......!

Mbona uzi wa Diamond Hatujafikia hata nusu ya uzi wa AliKiba.....?
Ni kwasababu huyu kijana anakubalika sana. Hata kama humkubali lakini ndani ya moyo unapenda sana.

Ndio maana wengi wenu mko humu.

#AliKiba hatumii jitihada nyingi kuvuta mashabiki ila Mashabiki wenyewe wanakuja kwake.

Hii ni celebrity forum haijalishi nani anaongelewa utanikuta iwe shilole, sepenga, kiba, zari, diamond as long as i have sthng to say you will find my comment.... Kama ni wingi wa comments sio ishu, unazifahamu most leading social medias in bongo????

FACEBOOK
>>diamond likes zaidi ya 680,000+
>>alikiba likes zaidi ya 65,000+

INSTAGRAM
>>diamond followers 780,000+
>>alikiba followers 320,000+

TWITTER
>>diamond followers 200,000+
>>alikiba followers 65,000+

YOUTUBE
>>diamond subscribers 145,000+
>>alikiba subscribers 10,000+

WHAT ARE YOU TALKING ABOUT??????? KIBAKULI kumfananisha na PRESIDENT ABT SOCIAL MEDIA????? UMEFELI
 
Tízameni akili kopo hii..!
 
Licha ya kuwa na mashabiki wote hao, mbona hawajampigia kura #KTMA Ili ashinde ...?

Msanii unatakiwa uwe na Mashabiki wanaitwa #ROYALS..... Huenda hata wewe hukumpigia kula #KTMA alafu ukajiita eti #TimDiamond.

Pamoja na takwimu zote ulizozitoa, hujui kwamba #AliKiba ajajichukulia mashabiki wa kimataifa.

Yaani hao ni wa hapa #Bongo tu. Sasa akiamua kuwakomba mashabiki wa kimataifa si ndio itakuwa balaa.

Tumia akili hata kidogo basi.
 
Umenichekesha unaongelea uzi kuwaje? Hivi uzi unaingiza bei gani nilikuwa sijui ndugu.

Mashabiki hata apate trillion kitu ni sie wapenda muziki tunataka kuona kazi na matunda yake, sio ilivyo sasa hapana kabisa.

Nahamu ya kujua kideo hiki kipya kimeanza kumwingizia sh ngapi maana hata fans wengine wasiomkubali watazoofika kwa wivu.

Naongelea kujaa kwa Thread ya #TeamAliKiba ukilinganisha na ule wa #TeamDiamond.

Licha ya kuwa na mashabiki wengi instagram.com bado mashabiki wake hawajiamini kutwa wanashinda katika Thread ya AliKiba.

Huyu kiba anatafuta kiki tu azungumziwe, bora chibu anafollow watu na kulike picha zao hadi raha
 
Back
Top Bottom