Ali Kiba kortini matunzo ya mtoto

Alikiba atoe matunzo ya mtoto kwa usalama wake na akubali kuyamaliza nje ya mahakama maana case ikienda mahakamani kabisa Alikiba kamwe hatoweza kushinda.....
Halafu huyo mdogo wa Alikiba so called Zabibu ana mdomo mrefu kama rula naona anaongea sana kuzidi anaye daiwa kutia mimba ni bora anyamaze na yeye amtafute mwanaume wa kumzalisha.
 
Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡
 
Hii 1.41 ndiyo kitu gani labda?
 
acheni ujinga hamjuwe kinachoendelea zaidi ya kuropoka mitandaoni kama mangekimange aka kigaraguza.
 
Unamjua Maria Carey?
 
460000? Sheria gani hiyo?
Huo mshahara was mtu kabisa.
Kama sheria iko hivo wanawake wengi wasingelea watoto eke yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…