Ali Kiba kortini matunzo ya mtoto

Ali Kiba kortini matunzo ya mtoto

Alikiba atoe matunzo ya mtoto kwa usalama wake na akubali kuyamaliza nje ya mahakama maana case ikienda mahakamani kabisa Alikiba kamwe hatoweza kushinda.....
Halafu huyo mdogo wa Alikiba so called Zabibu ana mdomo mrefu kama rula naona anaongea sana kuzidi anaye daiwa kutia mimba ni bora anyamaze na yeye amtafute mwanaume wa kumzalisha.
 
Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡
 
Mzazi mwenza na Ali Kiba,Hadija Hassan,amefungua kesi ya madai dhidi ya msanii huyo baada ya kumtelekeza tangu mwaka 2017, kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kwa msaada wa Kituo cha wanawake cha kisheria WLAC,ambapo dada huyo anadai kulipwa mil 1.41 ikiwemo matunzo na ada kwa mtoto
Hii 1.41 ndiyo kitu gani labda?
 
acheni ujinga hamjuwe kinachoendelea zaidi ya kuropoka mitandaoni kama mangekimange aka kigaraguza.
 
Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡
Unamjua Maria Carey?
 
460000? Sheria gani hiyo?
Huo mshahara was mtu kabisa.
Kama sheria iko hivo wanawake wengi wasingelea watoto eke yao
 
Back
Top Bottom