Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anasubiri zali, ameona limeangukia Mombasa ameamua kuliamshaSiku zote alikuwa wapi au kaona jamaa kachukua jiko ndio figisufigisu zinaanza
Wala si kwa kukamuliwa mbegu, watoto wanatoka tu kiunoni King mwanaume bwanaUjinga wa Kiba amezaa hovyo ...
Na hii si kesi ya kwanza. Nyingi zaja.
Hii 1.41 ndiyo kitu gani labda?Mzazi mwenza na Ali Kiba,Hadija Hassan,amefungua kesi ya madai dhidi ya msanii huyo baada ya kumtelekeza tangu mwaka 2017, kesi hiyo imefunguliwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kwa msaada wa Kituo cha wanawake cha kisheria WLAC,ambapo dada huyo anadai kulipwa mil 1.41 ikiwemo matunzo na ada kwa mtoto
Ni kweli. Niliwashangaa sana mlivojaa pale "sokoni ilala boma"Sisi wanawake wakati mwingine hatujitambui hatujitambui kabisa. Ngoja niishie hapa kwa leo.
Binafsi niliwashangaa ndio maana nimesema hatujitambui.Ni kweli. Niliwashangaa sana mlivojaa pale "sokoni ilala boma"
wachache kati yenu wana upeo km wako!Binafsi niliwashangaa ndio maana nimesema hatujitambui.
Wachache sana. Hatujui kufikiri sawasawa wengi wanaongozwa na mihemko.wachache kati yenu wana upeo km wako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni odds za football bettingHii 1.41 ndiyo kitu gani labda?
Unamjua Maria Carey?Yaaani natamani niwakalishe chini wadogo zangu wa kike na binti zangu wa kitanzania, niwaeleze thamani yao. Au ningewafunga kizazi wote ili waishie kuchezeana tu badala ya kuzaa na kuwa-expose malaika kwenye kesi/skendo/kiki za kipuuzi kama hizi😡😡
Na hii habari itatrend kuliko ya magu kuzindua vyooHAKUNA UTIMU jamaa mahakamani kama mondi