Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Tamasha la 'TribeOne Dinokeng' limeandaliwa na ROCKSTAR4000 na Sony Music Entertainment na litafanyika tarehe 26 - 28 September
Alafu mnasema Ally Kiba hajui mziki kijana mambo yake anafanya kimya kimya na sio kwa kujitangaza na kushinda mitandaoni, sitaki kumsema mtu ila napenda mtu anayefanya vitu vyake vikaonekana kama huyu dogo Kiba, Hongera sana kijana and keep it up and hizi ndio hadhi zako na still upo juu,sio mtu anafanya shoo uchwara anataka mamillion ya pesa na kujitangaza kwingi.
Hongera sana angekuwa mtu mwingine angeshajitangaza kila mahali na kusema kapewa million 100 kufanya shoo.
Tanzania ametoka ye na Lad Jay Dee it means bado yupo juu na hana mpinzani angekuwa hayupo kwenye ramani ya mziki au kuna mpinzania basi naamini asingechukuliwa so hongera sana dogo
Wapo ambao viroho vitawauma ila usiangalie nyuma fanya kazi kijana.