Ali Kiba Kupanda jukwaa moja na Nick Minaj Septermber

Ali Kiba Kupanda jukwaa moja na Nick Minaj Septermber

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
4,951
Reaction score
1,446
Tamasha la 'TribeOne Dinokeng' limeandaliwa na ROCKSTAR4000 na Sony Music Entertainment na litafanyika tarehe 26 - 28 September

Alafu mnasema Ally Kiba hajui mziki kijana mambo yake anafanya kimya kimya na sio kwa kujitangaza na kushinda mitandaoni, sitaki kumsema mtu ila napenda mtu anayefanya vitu vyake vikaonekana kama huyu dogo Kiba, Hongera sana kijana and keep it up and hizi ndio hadhi zako na still upo juu,sio mtu anafanya shoo uchwara anataka mamillion ya pesa na kujitangaza kwingi.

Hongera sana angekuwa mtu mwingine angeshajitangaza kila mahali na kusema kapewa million 100 kufanya shoo.

Tanzania ametoka ye na Lad Jay Dee it means bado yupo juu na hana mpinzani angekuwa hayupo kwenye ramani ya mziki au kuna mpinzania basi naamini asingechukuliwa so hongera sana dogo

Wapo ambao viroho vitawauma ila usiangalie nyuma fanya kazi kijana.
 

Attachments

  • Ally K.png
    Ally K.png
    198.7 KB · Views: 1,069
  • Ally Kib.png
    Ally Kib.png
    221.5 KB · Views: 969
  • Ally Kibaa.png
    Ally Kibaa.png
    225 KB · Views: 966
  • Ally Kib1.png
    Ally Kib1.png
    122.2 KB · Views: 925
Sure thing angalau nae kapata watu walimuongea sana
 
Haohao haters ndo pengne wamesaidia kujtutumua mpaka nae ss iv ana2mia vzur fursa,so iwe kmyakmya ama kwa kujtangaza kla mahal as a true fan I dont care, wat matters is vissible efforts, PERIOD!!
 
Ally Kiba anajua sana, heshima yake ipo pale plae, sema conflict na yule meneja wake ndio ilimfanya jamaa akae kimya, bora sasa huyu meneja mpya huenda atasaidia kumfanya Ally Kiba awe the topest like past.

All in all bravo mingi kwa Ally K.
 
litafanyika wapi?!!!!

Mkuu nadhani itakuwa ni south Africa maana hilo kampuni kubwa la sony kwa Africa makao makuu ni bondeni, pia hata Rose Mhando yupo chini ya udhamini wa kampuni hilo.
 
Ally Kiba anajua sana, heshima yake ipo pale plae, sema conflict na yule meneja wake ndio ilimfanya jamaa akae kimya, bora sasa huyu meneja mpya huenda atasaidia kumfanya Ally Kiba awe the topest like past.

All in all bravo mingi kwa Ally K.

Sasa hivi meneja wake nani?
 
ila aly msiri sana wa
mambo yake mi ndo man nampenda sana kila la kheri kaka cha msingi sa hv ufanye kweli!
 
Back
Top Bottom