Ali Kiba Kupanda jukwaa moja na Nick Minaj Septermber

class is permanent form is temporary
Kiba is class
 
Show watafanyia South Africa hii.

Dogo ndio inabidi awe hivi naona watu viroho vimewauma sanaaa, hahaha

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
class is permanent form is temporary
Kiba is class

Kabisaaa wengine na chuki binafsi wameshaanza kusema Ally Kiba ataimba nini,

Naamini angekuwa hajui mziki basi asingechukuliwa na angechukuliwa huyo wanaemuita number one ila kwa Tanzania peke yake ndio kachukuliwa tofauti na kenya.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ila aly msiri sana wa
mambo yake mi ndo man nampenda sana kila la kheri kaka cha msingi sa hv ufanye kweli!

Mtoto wa kiume ndio inabidi awe hivyo msiri na sio sifa za kijinga, mambo kimya kimya ila mashabiki wako wanaona....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
umeona eeeh!kula gwala
 
Mtoto wa kiume ndio inabidi awe hivyo msiri na sio sifa za kijinga, mambo kimya kimya ila mashabiki wako wanaona....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

kweli lakini s mnakumbuka ht one 8 watu tumeshtukia tu mpaka raha jamani
 
Michael Jackson mpaka anakufa alikuwa bado anakula pesa za thriller.

Hao mkuu wameshakuja na viroho vya kwa nini,nilijuwa tu hawatakosa kwenye hii thread.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kweli lakini s mnakumbuka ht one 8 watu tumeshtukia tu mpaka raha jamani

Ile hamna mtu aliyekuwa anajuwa kabisaaa kama anaifanya na mwishoni tukaja kuiona tu straight na ili hit sana. Ndio maendeleo yanakuja kwa mpango huo na sio sifa za kijinga na bila mpango wowote.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kiba still kiba only

Unaye wonder ataimba nyimbo gani? Jaribu kwanza kunitajia nyimbo gani kiba katoa ambayo haikuwa hit song...!
 
Hongera zake Kijana imetulia sana ..chakarika Mwanangu ..Mwenyewe ...Mjini hapa usije ishia kuolewa Bureeee kama Mziwanda ! .....Uwii ni kwa mfano tu :behindsofa:
 
Kabisa.. Kijana mstaarabu sana. Mtu fulani watu wasingekunywa maji. Ukichanganya na wale madem zake wa uswazi pangekuwa hapatoshi.. Domo lile!!
 
Chema kinajiuza kibaya kinajitembeza big up mdogo wangu nakupenda kwa kutojisifia kuna watu hata akisalimiwa na mtu anaetaka dunia yote ijue
 
Hata diamond Alichaguliwa tuzo za B ET peke yake halaf sasa hiv anachart watsapp na kina Nelly na kariuchi na wenginee teh teh we unaonekana una chuki na domo
 
ukitaka kuhesabu wasanii bongo ali mweke kwenye sifuri then ndo uanze kuhesabu, ni hatari
 
Hata diamond Alichaguliwa tuzo za B ET peke yake halaf sasa hiv anachart watsapp na kina Nelly na kariuchi na wenginee teh teh we unaonekana una chuki na domo

Hta ali atachart na nick minaji kma isue n kuchart tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…