Ali Kiba kutoa tamko rasmi siku moja kabla ya kilele cha Wasafi Festival

Ali Kiba kutoa tamko rasmi siku moja kabla ya kilele cha Wasafi Festival

Mlezi atauzuia mkutano huo......
Mtaona

Ova
 
Ngoja tusubiri tuone maana huyu jamaa huwa hapendi kuongea sana mpaka hapo ujue ana mengi ya kuongea.

Ila natamani nisikie neno kutoka kwake kuhusu yale aliyofanyiwa na Diamond ili tujue ukweli na sio kuhukumu bila kusikiliza pande mbili.
 
Raoluoroliech,
Unaweza kuweka attention yako kwa Kiba? Kiba huyu huyu anaesema yeye ni mkubwa kuliko Wizkid, anaesema apati tuzo kwasababu ya Diamond,eti anae sema Diamond ana honga kwenye vituo vikubwa vya TV zisicheze ngoma zake. B

Bila kusahau mwaka 2018 akasema Diamond ana nunua viewers.wewe labda Kiba umjui vizuri ndio maana wengi humu wanamjua ndomaana wanampondaga.
 
Kipenseli ameamua kujilipua, aache kutafuta Penseli afanye Muziki biashara.
 
Diamond akisema naacha music rasmi, akipata mshindani mzuri au akifa, Ali kiba ndio itakuwa mwisho wake kufuatwa na wanahabari.

Kwa hakika jamaa hana lolote ila ashukuru Mungu hii miaka kasafiria nyota ya Diamond.
Haya ni Mawazo Ya Kitoto..
 
Diamond akisema naacha music rasmi, akipata mshindani mzuri au akifa, Ali kiba ndio itakuwa mwisho wake kufuatwa na wanahabari.

Kwa hakika jamaa hana lolote ila ashukuru Mungu hii miaka kasafiria nyota ya Diamond.
avatar yako 2 inaonesha akili zako zinasoma negative ...domo mwnyw anakiri kua kiba alianza music kabla yk ss umeona wapi masikio yakazidi kichwa?!
domo anatembelea nyota ya dingiake aliemfanya msukule pale wasafi...na kamwe domo hana nyota ya kutembelewa na "The King Himself" kiba4real!
 
Back
Top Bottom