Ali Kiba - mtu asiyejikweza lakini ana utajiri wa kutosha kuliko msanii yeyote Tanzania

Hela ikiwa nyingi sana haiwezi kujificha hata kidogo lazima assets zionekane lazima.
 
Nasikia Jamaa anamiliki MJENGO Oysterbay na Pia ana Luxury Yatch anakodisha Wazungu kwenda MBUDYA na BONGOYO ila haweki wazi tu watu wake wa karibu ndio wanajua.

Jamaa Bank ana zaidi ya bilioni 20 sema hataki watu wajue.

Nasikia anamiliki Range Autobiography 2019 na Hummer H2 kama za Gwajima sema hataki watu wajue.
 
Ha ha ha
 
Hata yeye hajui kama anamiliki
 
lile pete lile aisee
la chama na tulijiunga tokea chekecha cheketua baada ya kuona mwenzetu kachukua tuzo BET kwa kumpita priyanka chopra..ndipo tukaanza kupewa na mikataba,,ila kwenye msiba wa masogange tulivosalimiana na chibu watu hawakuelewa ile ni salamu ambayo mastermason ana msalimia member wa kawaida asiye na degree au ambaye yuko chini yake..kwahyo tunanuniana nje ila ndani chamani sie ni marafiki,,na mziki tumeugawa pande mbili ili wasio na upande wakae kapuni
 
Back
Top Bottom