Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa!niko job now,no kutazama tv no kusikiliza radio!
Chibu yupo jikoni na donald sauzi wanapika kitu kipya nyie kaen na kiba wenu wa wanyama mwitu msituni .
kichwaaa!!muone kwanza!mi sio fetty dj hivyoo loh!kua balozi kiba sio mbaya na sio ajabu pia kwake kwasababu ameshakua balozi sana tu katika vitu na makampuni mbalimbali,
Wasanii wengi sana ni ambassadors katika miradi mbalimbali
Nothing new!!(kwasauti ya wakuvyanga)
kama kawa kama dawa!!achia kitu,pika kitu,mwaga vitu!!huyo nio platnumz
Kiba goo goooooo usiangalie wanonkhoo
Naona ndumba za domo zime expire sasa
Kuna shekhe kachuchumaaa utadhani anakula ubwabwa kwenye hitima
Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??
Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?
Safi sana Ali Kiba. Umeshafanya kazi na world top class ie RKelly sasa uko wengine Kate Hudson Leonard DiCaprio PrinceWilliam DavudBeckham n wengine. Hao wanaobemendwa na bibi zao waendelee tu.
Najuiliza huyo kijacho kitamuita Baba Anko au Domo atamuita kijacho baba au anko
Ndo inabidi uelewe, pia ushawahi kujua wengine wanalipwa kiasi gani katika matangazo yao?Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je
Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je