Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Ali Kiba na Jackline Mengi wateuliwa kuwa mabalozi wa tembo

Kiba goo goooooo usiangalie wanonkhoo
 
Attachments

  • 1434630091790.jpg
    1434630091790.jpg
    31 KB · Views: 6,051
hahahaha Kimbley a.K.a fetty, unajua kuponda wewe, mara balozi wa wanyama mara tuzo za ki-local, inaelekea siku ile pale jukwaani ulikwazika kila uliposikia jina la kiba, wapi cute b

Nipo mkuu nimechelewa kule kweny kuvote ata ivyo sijachelewa sana
 
Last edited by a moderator:
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
Safi sana Ali Kiba. Umeshafanya kazi na world top class ie RKelly sasa uko wengine Kate Hudson Leonard DiCaprio PrinceWilliam DavudBeckham n wengine. Hao wanaobemendwa na bibi zao waendelee tu.
Najuiliza huyo kijacho kitamuita Baba Anko au Domo atamuita kijacho baba au anko
 
kichwaaa!!muone kwanza!mi sio fetty dj hivyoo loh!kua balozi kiba sio mbaya na sio ajabu pia kwake kwasababu ameshakua balozi sana tu katika vitu na makampuni mbalimbali,
Wasanii wengi sana ni ambassadors katika miradi mbalimbali
Nothing new!!(kwasauti ya wakuvyanga)

haya miss Kimbley najua angekuwa nanii wala msingeponda
 
Last edited by a moderator:
Watu tulikuwa standby kusubiri hiyo suprise!kumbe ni kiba kuwa balozi wa wanyama?na yenyewe ni suprise sasa ya kushangaza watu??

Kweli mmeishiwa sera na mashiko!!hilo nalo ni ajabu kweli clouds?

Nashindwa kuelewa kiba balozi du hivi wametumia vigezo gani kuchagua hao mabalozi mshahara je
 
Safi sana Ali Kiba. Umeshafanya kazi na world top class ie RKelly sasa uko wengine Kate Hudson Leonard DiCaprio PrinceWilliam DavudBeckham n wengine. Hao wanaobemendwa na bibi zao waendelee tu.
Najuiliza huyo kijacho kitamuita Baba Anko au Domo atamuita kijacho baba au anko

Ha ha ha ha uwiiiih
 
Back
Top Bottom