Ali Kiba ni msanii anayekuzwa kuliko uwezo wake (Overrated)

Basi sawa ngoja tumtafutie NGURUNDA km wanavyofanya WCB ndio mfurahi
 
Kiukwel kiba ni wa kawaida sana yaan kazi zake hazinipag stimu kabisa bora hiyo miprakatakatumba ninachotafuta si burudan bhana
 
Mfananishe Kiba na wa miaka ile .
Diamond na wa miaka hii .

Acheni uchonganishi.
kinachoangaliwa ni kuwa si bado yupo kwenye game na anaendelea na muziki kwan kaacha so ni lazima ujaribu kulinganisha kile alichofanya miaka ile je ni kilekile au kuna kilichobadilika au niyaleyale tu ya sikuzote kama wimbo wa taifa
 
Kama ni hivyo fananisheni nyimbo Zake za zamani na za sasa.

Msimlinganishe na Diamond maana wote wana style tofauti za uimbaji.
 
Abdul huyu huyu mwenye kinyimbo cha watoto eti Bayoyo, ha haaa ofcoz bado wana safari ndefu mno vijana hawa
 
alikiba aliwahi kuongea amerudi kuchukua kiti chake cha ufalme..kauli yake hiyo inatosha kumfanya aonekane anashindana na domo maana mpaka sasa yeye ndio kakaa kwenye hicho kiti..
 
alikiba aliwahi kuongea amerudi kuchukua kiti chake cha ufalme..kauli yake hiyo inatosha kumfanya aonekane anashindana na domo maana mpaka sasa yeye ndio kakaa kwenye hicho kiti..
Ofcoz ye ndo mfalme wa Bongo fleva kama unajua nin maana ya Bongo fleva
Hao wengine walishaipoteza ile taste halisi Bongo fleva
 
Na wanachofikiria ni kila mshabiki wa kiba chanzo chake ni "kumchukia Diamond"

Alikiba ana taste yake hivyo ni kosa kumpambanisha na yoyote yule

Kama wana muoverate kwa skendos hlo tatizo
Lakin jamaa anaish maisha yake na fame ipo palepale
 
Mnataka afanye hizo parakatumba zenu ndo muanze kumuelewa??
Ally Kiba : The real definition ya Bongo Flava,mtaimba hadi mdumange mwaka huu[emoji16][emoji16]
Wanataka na yeye aimbe nyimbo za kutaja majina ya watu nyimbo nzima
 
Kinachonisikitisha ni jinsi wanavyomjaza kichwa matokeo yake anabaki palepale, yanakuja madogo kama Harmonize yanampita huku fursa anaziona, so sad, tatizo wabongo hatupendi kuambizana ukweli
Sasa wew tukueleweje?
Anakuwa over rated kimafanikio au level anayoekwa ya uimbaji sio level aliyopo?
 
Sikiliza "Aje" Ali Kiba ft M.I. Halafu tuijadili kuanzia beat, melody, harmony, creativity, lyrics, wordplay, punchlines, imagery etc.

Kama unafahamu vitu hivyo ni nini.
Sidhani kama kuna atakayethubutu kuquote hii post kwa maana ya kujibu ulichouliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…