Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Bora hawa chalii za kule wakadhamini kuliko hio mo motoView attachment 924459
KIWANDA CHA mofaya KIPO WAPI VILE??
huu ni zaidi ya uchawi, kukatishana tamaaHamna kinywaji hapo wala mfanyabiashara, huyu anazani muda unamsubiria yy.
huu ni zaidi ya uchawi, kukatishana tamaa
eti eee!Kibakuli anajikutaga tu hatakagi shobo dundo...
AHLAA!!!!!Kipo vingweta
hako ka katikati ni katoto ka kike?Bora hawa chalii za kule wakadhamini kuliko hio mo motoView attachment 924459
yeah... Best response ever. I hope WCB watatumia busara kujibu hiliBest response.
Yeah....eti eee!
Jibu lenye ujazo[emoji5]Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya kutoshiriki kuwa atakuwa busy kuitambulisha mofaya katika mataifa mbalimbali.
Hata hivyo amesema yupo tayari kudhamini tamasha hilo kupitia kinywaji chake cha mofaya.View attachment 924451