Ali kiba: Nipo tayari kudhamini tamasha la wasafi festivals

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya kutoshiriki kuwa atakuwa busy kuitambulisha mofaya katika mataifa mbalimbali.

Hata hivyo amesema yupo tayari kudhamini tamasha hilo kupitia kinywaji chake cha mofaya.
Screenshot_2018-11-07-12-34-44.jpeg
 
Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya kutoshiriki kuwa atakuwa busy kuitambulisha mofaya katika mataifa mbalimbali.

Hata hivyo amesema yupo tayari kudhamini tamasha hilo kupitia kinywaji chake cha mofaya.View attachment 924451
Jibu lenye ujazo[emoji5]
 
Back
Top Bottom