Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya kutoshiriki kuwa atakuwa busy kuitambulisha mofaya katika mataifa mbalimbali.
Hata hivyo amesema yupo tayari kudhamini tamasha hilo kupitia kinywaji chake cha mofaya.
Hata hivyo amesema yupo tayari kudhamini tamasha hilo kupitia kinywaji chake cha mofaya.