Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Naanzaje kumuonea wivu kiba wakati mimi na yeye tunaishi katika dunia mbili tofauti?ukweli ni lazima usemwe,anapaswa kubadilika,kama msanii hupaswi kuonesha wazi kuwa unanata (well hata kama ni tabia yako)ajifunze kujishusha na kuchagua maneno ya kuongea anapokuwa kwenye interview ntafika mbaliWivu tu, sina team ila hayo maneno yako yaonekana ni chuki tu. Nakusamehe pia
Dai naye ana mapungufu yake kibao tu,pa kusemwa ukweli inabidi pasemweBora ya kiba kuliko huyo dia wako anaetangaza ananyumba kumi na alinunua mtaa wa wema kumbe ndio kwanza anajenga ya pili na video kibao toka ananua kiwanja nani anaeringa hapo na kwakuongeza sifuri hajambo
Kunywa sumu mkuu!Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
maneno yako tu hayo kwani hajui kiingereza kabisa na ndicho anakiimba KIBA ANAJUA endelea huko huko mkuuAs long as anaonesha kwenye public siwezi muacha hivi hivi bila kucoment..he has to change,asipobadilika trust me,hatafika mbali
nishakunywa,nasubiri kuzikwa tu mkuu...a hahahaKunywa sumu mkuu!
Nyie ndo mnaomjaza ujinga boss wenu....!boss wenu ni sizitaki mbichi hizi..alisema yeye ni mkubwa kuliko tunzo,now kapata tunzo kaandaa mapokezi airport,anapita kwenye footsteps za D then hataki kuacknowledgemaneno yako tu hayo kwani hajui kiingereza kabisa na ndicho anakiimba KIBA ANAJUA endelea huko huko mkuu
umeona kasemaje na huko mbali unataka afike mawinguni? acha wivu wa kijinga
Sure,kuimba anajuaAnajisikia sana huyu bwege! Ila sauti ya kuimba anayo hilo tu!
Nashangaa watu wanatoka povu balaa,ila ukweli ndio huo.Asante kwa kuliona hilo mkuu
Ni shidaaaaHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Wivu tu unamsumbua,hana jingine.Nyie ndo mnaomjaza ujinga boss wenu....!boss wenu ni sizitaki mbichi hizi..alisema yeye ni mkubwa kuliko tunzo,now kapata tunzo kaandaa mapokezi airport,anapita kwenye footsteps za D then hataki kuacknowledge
Sasa ulitaka akushobokee ndo umuone mtu poa. Kila mtu ana life lake na yule ni binadamu kama wengine. Haina haja ya kushobokeana kama unapenda kazi yake fresh kama hupendi fresh pia. Maisha yanaenda kwani ulitaka awe na mazoea na kila mtu atakuwa na mazoea na wangapi?Naanzaje kumuonea wivu kiba wakati mimi na yeye tunaishi katika dunia mbili tofauti?ukweli ni lazima usemwe,anapaswa kubadilika,kama msanii hupaswi kuonesha wazi kuwa unanata (well hata kama ni tabia yako)ajifunze kujishusha na kuchagua maneno ya kuongea anapokuwa kwenye interview ntafika mbali
kwanza stop hapo hapo sio boss wangu huyu sipo kokote kati ya hao Kiba hajakataa kwamba kiingereza sio muhimu kwake au katika maisha ya kimuziki NA SIO KWAMBA HAJUI CHA KUONGEA AMBACHO NDO MUHIMU kule anaimba kiingereza? hamna sasa cha nini? unataka ateleze kama Daima ndo umsifie? acha hizoNyie ndo mnaomjaza ujinga boss wenu....!boss wenu ni sizitaki mbichi hizi..alisema yeye ni mkubwa kuliko tunzo,now kapata tunzo kaandaa mapokezi airport,anapita kwenye footsteps za D then hataki kuacknowledge
kutokunata haimaanishi kuwa awe na mazoea na kila mtu,get my pointSasa ulitaka akushobokee ndo umuone mtu poa. Kila mtu ana life lake na yule ni binadamu kama wengine. Haina haja ya kushobokeana kama unapenda kazi yake fresh kama hupendi fresh pia. Maisha yanaenda kwani ulitaka awe na mazoea na kila mtu atakuwa na mazoea na wangapi?
KIBA HAFANANI NA HUYO WENU muziki hajui hana chochote media muda woteSasa ulitaka akushobokee ndo umuone mtu poa. Kila mtu ana life lake na yule ni binadamu kama wengine. Haina haja ya kushobokeana kama unapenda kazi yake fresh kama hupendi fresh pia. Maisha yanaenda kwani ulitaka awe na mazoea na kila mtu atakuwa na mazoea na wangapi?
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Haaaaaahh haaahh..! Thanks cause umeweka negativity an Positivity...Ukweli ndio unao matterAnajisikia sana huyu bwege! Ila sauti ya kuimba anayo hilo tu!