Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)

Bora ya kiba kuliko huyo dia wako anaetangaza ananyumba kumi na alinunua mtaa wa wema kumbe ndio kwanza anajenga ya pili na video kibao toka ananua kiwanja nani anaeringa hapo na kwakuongeza sifuri hajambo
 
Alikuja Cabo Snoop na Prakatatumba hata kiingereza hajui lakini alikua na mkalimani na akafanya show na akafanya collabo na Ali Kiba.

Kama ataajiri Mkalimani itakua poa.
 
Wivu tu, sina team ila hayo maneno yako yaonekana ni chuki tu. Nakusamehe pia
Naanzaje kumuonea wivu kiba wakati mimi na yeye tunaishi katika dunia mbili tofauti?ukweli ni lazima usemwe,anapaswa kubadilika,kama msanii hupaswi kuonesha wazi kuwa unanata (well hata kama ni tabia yako)ajifunze kujishusha na kuchagua maneno ya kuongea anapokuwa kwenye interview ntafika mbali
 
maneno yako tu hayo kwani hajui kiingereza kabisa na ndicho anakiimba KIBA ANAJUA endelea huko huko mkuu
umeona kasemaje na huko mbali unataka afike mawinguni? acha wivu wa kijinga
Nyie ndo mnaomjaza ujinga boss wenu....!boss wenu ni sizitaki mbichi hizi..alisema yeye ni mkubwa kuliko tunzo,now kapata tunzo kaandaa mapokezi airport,anapita kwenye footsteps za D then hataki kuacknowledge
 
kuleni hicho kiingereza chenu ukiona unashabikia lugha jiangalie zimo zote kichwani maana hata malaria zinapungua

KISWAHILI CHENYEWE WAKENYA WANATUSHINDA tujitathmini Watz
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Ni shidaaaa
 
Naanzaje kumuonea wivu kiba wakati mimi na yeye tunaishi katika dunia mbili tofauti?ukweli ni lazima usemwe,anapaswa kubadilika,kama msanii hupaswi kuonesha wazi kuwa unanata (well hata kama ni tabia yako)ajifunze kujishusha na kuchagua maneno ya kuongea anapokuwa kwenye interview ntafika mbali
Sasa ulitaka akushobokee ndo umuone mtu poa. Kila mtu ana life lake na yule ni binadamu kama wengine. Haina haja ya kushobokeana kama unapenda kazi yake fresh kama hupendi fresh pia. Maisha yanaenda kwani ulitaka awe na mazoea na kila mtu atakuwa na mazoea na wangapi?
 
Nyie ndo mnaomjaza ujinga boss wenu....!boss wenu ni sizitaki mbichi hizi..alisema yeye ni mkubwa kuliko tunzo,now kapata tunzo kaandaa mapokezi airport,anapita kwenye footsteps za D then hataki kuacknowledge
kwanza stop hapo hapo sio boss wangu huyu sipo kokote kati ya hao Kiba hajakataa kwamba kiingereza sio muhimu kwake au katika maisha ya kimuziki NA SIO KWAMBA HAJUI CHA KUONGEA AMBACHO NDO MUHIMU kule anaimba kiingereza? hamna sasa cha nini? unataka ateleze kama Daima ndo umsifie? acha hizo
tukuza chako na jikubali thats all!!!!!!!!!!
 
Sasa ulitaka akushobokee ndo umuone mtu poa. Kila mtu ana life lake na yule ni binadamu kama wengine. Haina haja ya kushobokeana kama unapenda kazi yake fresh kama hupendi fresh pia. Maisha yanaenda kwani ulitaka awe na mazoea na kila mtu atakuwa na mazoea na wangapi?
kutokunata haimaanishi kuwa awe na mazoea na kila mtu,get my point
 
Sasa ulitaka akushobokee ndo umuone mtu poa. Kila mtu ana life lake na yule ni binadamu kama wengine. Haina haja ya kushobokeana kama unapenda kazi yake fresh kama hupendi fresh pia. Maisha yanaenda kwani ulitaka awe na mazoea na kila mtu atakuwa na mazoea na wangapi?
KIBA HAFANANI NA HUYO WENU muziki hajui hana chochote media muda wote
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
6616c1ff7056da5df97ad39742b6499e.jpg

Usisubiri iwe na mafanikio km ya mtu fulani Jo
 
Back
Top Bottom