Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Kiba ana public speaking moja mbaya sana, ni full majigambo. Nasikiliza muziki wake sometimes, ni kweli jamaa yuko vizuri, ila huu u-arrogant auweke pembeni, anahisi ni confidence, ila sio, kuna confidence na arrogance, this is the latter.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenye pesa hawajutangazi hutangazwa funga domo lako hilo fyuuu
Lini diamond alijitangaza hadharani kuwa ana pesa?

Diamond atakujibu kulingana na ulivyomuuliza na kwa taarifa yako diamond ana mali zaidi ya unazozijua na hakuna mwanamuziki msiri kama diamond

Kwanza diamond mwenyewe humjui unaishia kumuona tu IG so kuwampole tu ujuzwe usiyoyajua.
 
Yaan upo km mm,nalichukia lina mapozi ya kijinga sana. Linanata sana lijinga hili.
Hamfanan nae wala hamtakuja kulingana nae
jipeni moyo na maneno yenu ya kwenye kanga
unafki tuu .....
Ekotiteee mbona unakata viuno unajua kilingala ww?
Sasa ww vimba pasuka kabisa wkt Kiba anatengeneza mashabik wapya kila day
Sasa nyie endeleen kutema Povu wkt hata airport hamjawai kuvuka vile viti vya kusubiria watu!!
 
Lini diamond alijitangaza hadharani kuwa ana pesa?

Diamond atakujibu kulingana na ulivyomuuliza na kwa taarifa yako diamond ana mali zaidi ya unazozijua na hakuna mwanamuziki msiri kama diamond

Kwanza diamond mwenyewe humjui unaishia kumuona tu IG so kuwampole tu ujuzwe usiyoyajua.
Watoto mliozaliwa miaka ya2000 utawajua tu kama diamond ni mumeo au mchepuko wake basi unachotuambia ni ukweli ila kama humjui na hakujui tutaamini vipi hichi ulichokiandika? ?
 
As long as anaonesha kwenye public siwezi muacha hivi hivi bila kucoment..he has to change,asipobadilika trust me,hatafika mbali

Tangu ameanza, angekuwa wa kutokufika mbali angeshatokomea siku nyingi lakini mipango na riziki anatoa Mungu pekee
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Acha hizo wewe , unadhani kila mtu anaishi kwa maonyesho na kutangaza mali zake?, matokeo yake mnawatangaza mpaka watoto wa wenzenu mnajitia ni nyie ndio mliotia mimba .
 
Yaan upo km mm,nalichukia lina mapozi ya kijinga sana. Linanata sana lijinga hili.

Unachuma dhambi bure, tumeagizwa mpende jirani yako kama nafsi yako, ajabu unamchukia mtu hata asiyekufahamu wala hajawahi kukukosea kwa lolote...Tubu Makunga
 
Yani na hili nalo unataka kushindanisha?

Mafanikio ya diamond sio ya kuambiwa yanajionesha yenyewe

Yani dah hapo ni kama umshindanishe Christiano Ronaldo na Kichuya aisee
Hili ndo neno ambalo mashabiki wa kiba na kiba mwenyewe huwaumiza.....ukweli mafanikio ya mtu hayajifichi hata kama hutotangaza.....iwe ki mziki au kimaisha kiba kwa mond ni ardhi na mbingu kubali kataa it's up to u
 
Yah for shoo men Kiba ni mawangu na dai ni ardhi
 
hatimaye amenza kuonyesha true color zke nashangaga mashabiki wa kiba wanaosema huyu jamaa ni mstaarabu huyu jamaa n mjeuri n ana nyodo balaa sema wengi mnaishia kumuona kwny tv mnamuona mpole
 
Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Kisa kakwambia hataki kujifunza lugha ya majahazi
 
Ndio maana huwa sihangaiki kubishana na shabiki wa Ali Kiba....
 
Back
Top Bottom