allan david
Senior Member
- Feb 17, 2017
- 112
- 81
kila mtu ana hulka yake amin hata ww kuna ambao hawpendi tabia yako...sasa ka unamjua ananata unahangaika kumwanglia ili nini huoni utajiua kwa stresSijabase mkuu,sema huyu kaka ana tabia flani hivi ya kujisikia..he's not humble kama wakina Darasa,fa,ay,na wengineo