Nitajie mafanikio ya dai ambayo kiba hajafikiaHuwa anajiona keki sana yani
Angefikia robo ya mafanikio ya diamond inaonekana hata mate angekuwa anawatemea
Lini diamond alijitangaza hadharani kuwa ana pesa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenye pesa hawajutangazi hutangazwa funga domo lako hilo fyuuu
Hamfanan nae wala hamtakuja kulingana naeYaan upo km mm,nalichukia lina mapozi ya kijinga sana. Linanata sana lijinga hili.
Watoto mliozaliwa miaka ya2000 utawajua tu kama diamond ni mumeo au mchepuko wake basi unachotuambia ni ukweli ila kama humjui na hakujui tutaamini vipi hichi ulichokiandika? ?Lini diamond alijitangaza hadharani kuwa ana pesa?
Diamond atakujibu kulingana na ulivyomuuliza na kwa taarifa yako diamond ana mali zaidi ya unazozijua na hakuna mwanamuziki msiri kama diamond
Kwanza diamond mwenyewe humjui unaishia kumuona tu IG so kuwampole tu ujuzwe usiyoyajua.
As long as anaonesha kwenye public siwezi muacha hivi hivi bila kucoment..he has to change,asipobadilika trust me,hatafika mbali
Acha hizo wewe , unadhani kila mtu anaishi kwa maonyesho na kutangaza mali zake?, matokeo yake mnawatangaza mpaka watoto wa wenzenu mnajitia ni nyie ndio mliotia mimba .Huyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Unadhani na yeye anakupenda? Au anakujua? Aliewapa watanzania Umaskini, anapaswa kutubu.
Yani na hili nalo unataka kushindanisha?Nitajie mafanikio ya dai ambayo kiba hajafikia
Matusi ya nini tena ndugu??Watoto mliozaliwa miaka ya2000 utawajua tu kama diamond ni mumeo au mchepuko wake basi unachotuambia ni ukweli ila kama humjui na hakujui tutaamini vipi hichi ulichokiandika? ?
Hapa ndo true identity yako imejionyeshaKIBA HAFANANI NA HUYO BWEGE WENU muziki hajui hana chochote media muda wote
Tusi hapo lipo wapi? ?mi nimesema ukweli uongo upo wapiMatusi ya nini tena ndugu??
Hili ndo neno ambalo mashabiki wa kiba na kiba mwenyewe huwaumiza.....ukweli mafanikio ya mtu hayajifichi hata kama hutotangaza.....iwe ki mziki au kimaisha kiba kwa mond ni ardhi na mbingu kubali kataa it's up to uYani na hili nalo unataka kushindanisha?
Mafanikio ya diamond sio ya kuambiwa yanajionesha yenyewe
Yani dah hapo ni kama umshindanishe Christiano Ronaldo na Kichuya aisee
Yah for shoo men Kiba ni mawangu na dai ni ardhiHili ndo neno ambalo mashabiki wa kiba na kiba mwenyewe huwaumiza.....ukweli mafanikio ya mtu hayajifichi hata kama hutotangaza.....iwe ki mziki au kimaisha kiba kwa mond ni ardhi na mbingu kubali kataa it's up to u
Kwa hiyo uliposema mimi ni mke wa diamond unaona upo sawa?Tusi hapo lipo wapi? ?mi nimesema ukweli uongo upo wapi
Kisa kakwambia hataki kujifunza lugha ya majahaziHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)