Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Sijabase mkuu,sema huyu kaka ana tabia flani hivi ya kujisikia..he's not humble kama wakina Darasa,fa,ay,na wengineo
kila mtu ana hulka yake amin hata ww kuna ambao hawpendi tabia yako...sasa ka unamjua ananata unahangaika kumwanglia ili nini huoni utajiua kwa stres
 
kiingereza ni njia tu ya mawasiliano si lazima awe mbobezi cha maji tu kinatosha TUWAACHE HAWA wanaotema slang english
mahelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwaaaaaaaaaaaaanzaaaaaaaaa
Hapanaa... hapo NDIPO huyu mnae mwita mfalme anapokesea...kwa hatua aliyofikia sikutarajia maneno kama haya akayazungumza msanii kama Kiba.kwa ujumla hatambuai wap anakwenda kweny Keria yake....
Sizitaki mbichi hizi. Huwezi kuignore lugha ya biashara. Sasa anawasiliana na Nani katika Muzic wake?
 
Mbona viongzi wenu wanajua cha ugoko bado mnawachagua na ving'ora mnawapigia
Umenisoma vizuri ukanielewa ..?

Wabongo(WaTanzania)wengi lugha hii inatupa taabu sana na viongozi pia wakiwemo.
 
Huyu jamaa anajua kuimba.. Ala hajui nn afnye ili afike mbali zaid...maani hapo alipo Ni kwa nguvu za mashabik wake lkn Si nguvu zake...tena hi Ni kwa sababu hao mashabik wake Kuna mtu Wana chuk nae dats why...Lakini..Bila hizo chuk kwa huyo mtu naamin Leo hii tungesha msahau..
 
Sema unamtaka ila hujui pa kuanzia anyway all tha best
 
Hata kilaza wa darasa hujisifu kuwa hapendi tu kujisomea
 
Wala Sina shida ya kufanana na mtu km huyo. Na kusema lazima tuseme. Tokeni povu hd mkome ila ndio hatuchoki kusema.

After all unadhan huyo jamaa yako ananizidi nn mm au kwavile hunifaham ndio maana unaropoka hapa.
 

Fyuu nimjue atanisaidia nini nchi ninayoishi ninaishi na matajiri kuliko yeye niondolee ujinga wako wewe unadhani wote walioko jamii forum wanaishi maisha kama yako yakufagilia watu ovyo kweli wewe nitolee kiherere kama cha bashite ovyooo
 
Fyuu nimjue atanisaidia nini nchi ninayoishi ninaishi na matajiri kuliko yeye niondolee ujinga wako wewe unadhani wote walioko jamii forum wanaishi maisha kama yako yakufagilia watu ovyo kweli wewe nitolee kiherere kama cha bashite ovyooo
Jina lako lina sadifu muonekano wako na mahali unapoishi
 
Wasanii watatu bongo ambao hawapepes ki English

(1) wema sepetu(jpo cku hizi co msanii
(2) Vanessa mdee
(3) jokate mwangelo

Wanaojitahid

..……………………..
..........................
.........................
 
Lugha ziko nyingi sana duniani sio ishu kweli kwani hata hao wazungu wanajifunza sana kiswahili then iweje kwani ni lugha ya biashara wako watu hawajui kingereza bt wanaongea lugha zingine za mataifa mengine......hata wanasoka wote walioko enngland si wote wanaongea kingereza bt mpunga wanakwarua na nyavu wanatikisaaaaa kaaaaawaaaaaiiiiiiiiiiidaaaaa
 
Punguza chuki wote ni binaadam na kila mtu ana mapungufu yake
 
Kwanza kibakuli angetupa tasmini ya, show zake alizoendea south kwani alitutangazia. Atakua na show, duban soweto johansbug

Sababu tuliona show moja tu ya kwenye, kibanda cha video
 
Hebu tuschieni kiba wetu kwanza juzi tumekuja na tuzo ambayo huyo domo wenu hajawah kuipata pamoja na mbwembwe zote!!yoooo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…