Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Asee kuna watu punguani sijapata kuona, sasa ww kumchukia kibba ww kinakusaidia nn, hakujui ww ndo wajitia kumjua, mfyuuuu,
Una roho mbaya kama wala nyama za watu
 
Aache ubishi ajifunze taratibu asiongee broken mbona mwenzie jide anajua kingereza fresh ila humkuti akiongea ovyo kwa media za Tanzania mpaka nje ya Tanzania
 
Mpambano mkali waendelea kati ya team "nanihiii" na team "nanihino" ..... but tahadhalini "kidole kwa jicho"
 
Humpendi ndio maana umeandika shit tu hapa
 
Alikuja Cabo Snoop na Prakatatumba hata kiingereza hajui lakini alikua na mkalimani na akafanya show na akafanya collabo na Ali Kiba.

Kama ataajiri Mkalimani itakua poa.
umemaliza.....gud
 
Kacheze unapochezaga.

Ukirudi kakojoe ukalale.

Ukiamka urudi hapa akili kidogo itakuwa ipo vzuri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Simpend Uyo jamaa analinga sana
 
Acha chuki binafsi ww kibaraka wa domo,
 
Sijabase mkuu,sema huyu kaka ana tabia flani hivi ya kujisikia..he's not humble kama wakina Darasa,fa,ay,na wengineo
Sisi hayo hayatuhusu ili mradi anatupa radha ya mziki tuupendao hizo weakness za mtu hazituhusu
 
Ye angesema tu hajui kingeleza ingetosha..lakini cyo kuleta habari ya sizitaki mbichi hizi
 
Kinachonishangaza wengi wa waliokuwepo hapo Airport ni hao wenye kuitwa "wanaume wa dar" naona mademu mida hiyo walikuwa kazini wakiwatafutia [emoji46]
 
Sizitaki mbichi hizi. Kingereza muhimu bwana ata cha kuombea maji asizuge aende kwa ras simba hakuna namna. Anatamani kukijua ila akili zitakua nzito kama za daudi bashite
 
English ni lugha ya biashara,alikiba hilo anapaswa kutambua!! kama teamkiba huwa nakwazika na namna alikiba anaendesha interview zake.
Isitoshe alikiba siyo mbovu sana katika hili(kingereza),anajitahidi mno,na anaeleweka pia,sema hayuko fluent.
Sasa akianza kusema kuwa hana mipango ya kujiendeleza anajidanganya
Yupo na meneja seven,ampe training ya namna unaweza endesha na kurespond kwenye interview, namna ya kujibu hata maswali ya kuudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…