Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

Hakuna haja ya kujua chochote, hata elimu haina haja ukihitaji cheti unabasheti tu.
 
Ila jamaa inaonekana tu akili nzito sana....fatilia interview zake utacheka mwenyewe
 
Ajifunze kiingereza cha nini wakati Google translate ipo?
 
As long as haandiki vitabu na wana elewana na anao wasiliana nao haina shida
 
Wala Sina shida ya kufanana na mtu km huyo. Na kusema lazima tuseme. Tokeni povu hd mkome ila ndio hatuchoki kusema.

After all unadhan huyo jamaa yako ananizidi nn mm au kwavile hunifaham ndio maana unaropoka hapa.
Kumbe unajua alchokuzid ee
 
kuleni hicho kiingereza chenu ukiona unashabikia lugha jiangalie zimo zote kichwani maana hata malaria zinapungua

KISWAHILI CHENYEWE WAKENYA WANATUSHINDA tujitathmini Watz
Kiswahili kipi wanachotushinda wakenya?
 

Boko haramu utamjua tu. Sizitaki mbichi hizi.
 
Kuna mwana gospel aliimba...."Unapoianza safari wanakutia moyooo..... Unapoonyesha mafanikio wanaibua Vikwazoo..... Wala si wote wafurahiyao mafanikio yakooo""
 
Nyie jifunzeni kiingereza na ajira hakuna mwenzenu hajui kiingereza na ajira anayo na passport yake inachafuka viza tu
 
Punguza chuki. Hutakuja kumfikia hadi siku unaludi mavumbini.. JINGA SANA
 
Huyu kijana angejaaliwa hata robo ya uwezo alionao Diamond angekuwa anawatukana wasanii wenzake kila siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…