Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Lugha imekuja kwa meli hiiLugha ya wenyewe hiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha imekuja kwa meli hiiLugha ya wenyewe hiyo!
Kumbe unajua alchokuzid eeWala Sina shida ya kufanana na mtu km huyo. Na kusema lazima tuseme. Tokeni povu hd mkome ila ndio hatuchoki kusema.
After all unadhan huyo jamaa yako ananizidi nn mm au kwavile hunifaham ndio maana unaropoka hapa.
Kiswahili kipi wanachotushinda wakenya?kuleni hicho kiingereza chenu ukiona unashabikia lugha jiangalie zimo zote kichwani maana hata malaria zinapungua
KISWAHILI CHENYEWE WAKENYA WANATUSHINDA tujitathmini Watz
Anakujua au unajipendekeza?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Simpend Uyo jamaa analinga sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najipendeza Naona unaleta delicious Ok jokate ntaacha shoboAnakujua au unajipendekeza?!
Acha shobo kuna jela na gest
Msanii Ali Kiba amekiri hajui kuongea kiingereza vizuri, lakini hata hivyo amedai kiingereza sio ishu na kwa kuwa ameimba Kiswahili na amepiga hela na kuchukua tuzo mingi.
Pia amesema Wanaosemwa akamaatwe na Kamanda Mpinga kwa kuendesha gari kwa kuhatarisha usalama alidai hakuendesha yeye na pia waliomba kibali
Bora ufanye Zari.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najipendeza Naona unaleta delicious Ok jokate ntaacha shobo
Punguza chuki. Hutakuja kumfikia hadi siku unaludi mavumbini.. JINGA SANAHuyu kaka ananata sana na namchukia kwa sababu hiyo...naimagine angekuwa ana mafanikio atleast kama aliyonayo Dai sijui ingekuwaje...Halafu halijui hata kujieleza kwenye interview,huwa linaongea kama jitu lisilokuwa na hekima hata kidogo...damn (God forgive me)
Ila Kidoti bwana ako Mbona amekukana kwenye mediaBora ufanye Zari.
litakuwa jambo la maana mno.
"Mpeleke Nillan akamuone Baba ake"Ila Kidoti bwana ako Mbona amekukana kwenye media