Mmh kajitahidi huyo kiba kufikia 3mil....alitakiwa apewa 1mi maan hamna kitu
Mbona malipo yako fair tu, Simba kala mil 5 huku akiwa na jopo la watu 20 tena hpo pamoja na ndege kumbuka alikuwa mamtoni, kwa kiba yeye kala mil 3 na alikuwa na jopo la watu 10, pia route yake ilikuwa bongo to kenya. ila kwa wale wenzetu wa mahaba niuwe wanaona bonge la gape

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mwanamuziki unajiita Kaa La Moto, unategemea ulipwe bei gani?
Hadithi yako inatufundisha nn mkuuShow ilianza mapema mwendo wa saa mbili usiku. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Umati wa watu ulijaa Mama Ngina Drive. Wasanii wa Mombasa walianza kutumbuiza mmoja baada ya mmoja kabla fahali wawili kukutana.
Walipomaliza wasanii wa Mombasa, alianza kupanda Diamond platnumz na watu walishangilia kwa mbwembwe kumpa heshima yake. Diamond alitumbuiza kwa mwendo wa Playback. Alianza na nyimbo za zamani kuanzia Kamwambie, Mbagala hadi Kidogo.
Umati ulishangilia kwa kila alichokifanya Diamond ila mashabiki walimchoka kufikia katikati ya show nafkiri simply because of the playback. Hakuwa na jipya zaidi ya kufuatilia nyimbo zake directly from the CD na kucheza kwa nguvu huku ikiAffect sauti yake. Nafkiri hili liliwachokesha mashabiki but niseme tu he did his thing.
Alipomaliza Diamond alipanda Ali Kiba na umati wote ulishangilia kwa nguvu na kumsifu kwa kila aina. Alipopiga slogan yake ya "Yo" hapo ndio nilijua kweli Ali Kiba anapendwa sana. Watu walimshangilia kupitiliza. Kweli hakukosea alipoimba kuwa
Ali Ni Kipenzi Cha Watu.
Ali Kiba alitumbuiza kwa mwendo wa live kabisa. Yani ni CD but ina instrumentals za Live Band za nyimbo zake so aliPerform Live kabisa. Sauti yake iliskika clear kabisa na alishirikisha mashabiki katika show kwa kuwauliza wanataka ngoma gani awaimbie.
Hili liliwafurahisha sana mashabiki na alitumbuiza mpaka mwisho na umati uliburudika kwa kila wimbo alioimba.
NAOMBA NISEME: Mimi sina team yoyote. Napenda mziki, na naSupport kila msanii na naheshimu bidii ya kila msanii. Ila haya ndio niliyoshuhudia usiku wa jana. ASANTENI.
Umemaliza haya kaoge ulaleShow ilianza mapema mwendo wa saa mbili usiku. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Umati wa watu ulijaa Mama Ngina Drive. Wasanii wa Mombasa walianza kutumbuiza mmoja baada ya mmoja kabla fahali wawili kukutana.
Walipomaliza wasanii wa Mombasa, alianza kupanda Diamond platnumz na watu walishangilia kwa mbwembwe kumpa heshima yake. Diamond alitumbuiza kwa mwendo wa Playback. Alianza na nyimbo za zamani kuanzia Kamwambie, Mbagala hadi Kidogo.
Umati ulishangilia kwa kila alichokifanya Diamond ila mashabiki walimchoka kufikia katikati ya show nafkiri simply because of the playback. Hakuwa na jipya zaidi ya kufuatilia nyimbo zake directly from the CD na kucheza kwa nguvu huku ikiAffect sauti yake. Nafkiri hili liliwachokesha mashabiki but niseme tu he did his thing.
Alipomaliza Diamond alipanda Ali Kiba na umati wote ulishangilia kwa nguvu na kumsifu kwa kila aina. Alipopiga slogan yake ya "Yo" hapo ndio nilijua kweli Ali Kiba anapendwa sana. Watu walimshangilia kupitiliza. Kweli hakukosea alipoimba kuwa
Ali Ni Kipenzi Cha Watu.
Ali Kiba alitumbuiza kwa mwendo wa live kabisa. Yani ni CD but ina instrumentals za Live Band za nyimbo zake so aliPerform Live kabisa. Sauti yake iliskika clear kabisa na alishirikisha mashabiki katika show kwa kuwauliza wanataka ngoma gani awaimbie.
Hili liliwafurahisha sana mashabiki na alitumbuiza mpaka mwisho na umati uliburudika kwa kila wimbo alioimba.
NAOMBA NISEME: Mimi sina team yoyote. Napenda mziki, na naSupport kila msanii na naheshimu bidii ya kila msanii. Ila haya ndio niliyoshuhudia usiku wa jana. ASANTENI.
Show ilianza mapema mwendo wa saa mbili usiku. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Umati wa watu ulijaa Mama Ngina Drive. Wasanii wa Mombasa walianza kutumbuiza mmoja baada ya mmoja kabla fahali wawili kukut
NAOMBA NISEME: Mimi sina team yoyote. Napenda mziki, na naSupport kila msanii na naheshimu bidii ya kila msanii. Ila haya ndio niliyoshuhudia usiku wa jana. ASANTENI.
Mondi kapewa 5m sawa na 100m ya kibongo ila anagawana na fela. Tare. Salam. Zari. Dancers. Waganga wakati kiba peke yake maana kidoti billionaire ktk tshMmh kajitahidi huyo kiba kufikia 3mil....alitakiwa apewa 1mi maan hamna kitu
Nenda settingJaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
Shida kwako mm ata wakipata 10 kwa 3 siambulii ata sentUnataka picha tu basi ila kuhusu utofauti wa malipo kati ya 5-3 kwako uoni tofauti wewe picha tu kwa kweli ni shida sana
Setting kuna maelezo ya kila kitu kuhusu notficationMimi pia iko hivo
Sijui tatizo ni nin!!?
Kibaaaaa safiiiii apo kwenye live ndo ninapokupendeaShow ilianza mapema mwendo wa saa mbili usiku. Kila kitu kilikuwa shwari kabisa. Umati wa watu ulijaa Mama Ngina Drive. Wasanii wa Mombasa walianza kutumbuiza mmoja baada ya mmoja kabla fahali wawili kukutana.
Walipomaliza wasanii wa Mombasa, alianza kupanda Diamond platnumz na watu walishangilia kwa mbwembwe kumpa heshima yake. Diamond alitumbuiza kwa mwendo wa Playback. Alianza na nyimbo za zamani kuanzia Kamwambie, Mbagala hadi Kidogo.
Umati ulishangilia kwa kila alichokifanya Diamond ila mashabiki walimchoka kufikia katikati ya show nafkiri simply because of the playback. Hakuwa na jipya zaidi ya kufuatilia nyimbo zake directly from the CD na kucheza kwa nguvu huku ikiAffect sauti yake. Nafkiri hili liliwachokesha mashabiki but niseme tu he did his thing.
Alipomaliza Diamond alipanda Ali Kiba na umati wote ulishangilia kwa nguvu na kumsifu kwa kila aina. Alipopiga slogan yake ya "Yo" hapo ndio nilijua kweli Ali Kiba anapendwa sana. Watu walimshangilia kupitiliza. Kweli hakukosea alipoimba kuwa
Ali Ni Kipenzi Cha Watu.
Ali Kiba alitumbuiza kwa mwendo wa live kabisa. Yani ni CD but ina instrumentals za Live Band za nyimbo zake so aliPerform Live kabisa. Sauti yake iliskika clear kabisa na alishirikisha mashabiki katika show kwa kuwauliza wanataka ngoma gani awaimbie.
Hili liliwafurahisha sana mashabiki na alitumbuiza mpaka mwisho na umati uliburudika kwa kila wimbo alioimba.
NAOMBA NISEME: Mimi sina team yoyote. Napenda mziki, na naSupport kila msanii na naheshimu bidii ya kila msanii. Ila haya ndio niliyoshuhudia usiku wa jana. ASANTENI.
Vipi malipo ya watu 20 na 10, nao pia wanalipwa na waandaaji!!?Kila kitu kina gharamiwa na alieandaa show. Malipo hayahusiani na transport&accomodation.
Hadithi yako inatufundisha nn mkuu
Mkuu umeeleweka Sana sema mapicha na video vp hukufanikiwa kupata kama unazo fanya kutupostia tuone jinsi ilivyokuwa!To be honest, Ali Kiba killed the show compared to Diamond Platnumz. Ask anybody mwenye alikuwa kwa show ambaye hana team atakwambia the same. Ali Kiba alijua kuiteka crowd na alikuwa composed.
NOTE: I dont have a team, I like and respect both of them.