Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeona video clips acha uongo Ali kiba ni aje tu ndo alipata shangwe na hata insta ndo kipande alichopost wakati mond nyimbo zote mashabiki wameimba naeTo be honest, Ali Kiba killed the show compared to Diamond Platnumz. Ask anybody mwenye alikuwa kwa show ambaye hana team atakwambia the same. Ali Kiba alijua kuiteka crowd na alikuwa composed.
NOTE: I dont have a team, I like and respect both of them.
Mondi Milioni 5 alikuwa na watu 20,na Ali Kiba milioni 3 alikuwa na watu 10Acha unafiki moyo wako umekujaaa uteam kiba kabisa.
Haya mahabba yatatuuaMondi kapewa 5m sawa na 100m ya kibongo ila anagawana na fela. Tare. Salam. Zari. Dancers. Waganga wakati kiba peke yake maana kidoti billionaire ktk tsh
Bonyeza alama ya jumlisha Ku sbcrbu iliyopo juuJaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
Mond kalipwa keshs 5 mil ambazo ni sawa na 107 mls za kibongo alikiba kalipwa 3 ke mls ambazo nia sawa na 64 mls za kibongo.Mondi Milioni 5 alikuwa na watu 20,na Ali Kiba milioni 3 alikuwa na watu 10
Jamani kusoma hujui hata picha huoni!!?
Hapo Kiba ndo kaula
HahahhhMkuu umeeleweka Sana sema mapicha na video vp hukufanikiwa kupata kama unazo fanya kutupostia tuone jinsi ilivyokuwa!
PoleNilisha set kwenye notifications ila nakuta hola
Inakera kweli
Vipi wizkid na davido wataperform mkuu maana hao wasipokuwepo diamond hawezi kuperform na watu wasio level zake.Muacheni Kiba akapafomu mtvmama kwanza
Vipi wizkid na davido wataperform mkuu maana hao wasipokuwepo diamond hawezi kuperform na watu wasio level zake.
Alikua aperform peke ake ndo akatokea suprise artistMombasa alikua Na kina davido?![emoji3]
Alikua aperform peke ake ndo akatokea suprise artist
AhsantePole
Mond kalipwa keshs 5 mil ambazo ni sawa na 107 mls za kibongo alikiba kalipwa 3 ke mls ambazo nia sawa na 64 mls za kibongo.
Kwenye hiyo karatasi inaonyesha kwamba usafiri na maradhi ya kila mtu ni juu ya muandaaji.
Sasa ebu tu assume kila aliyekuwa ameandama na msanii alipewa mils 2. Ina maana alikiba kwa watu wake kumi atabaki na mils 44,
Kwa diamond kwa watu wake 20 atabaki na mls 67.
Tuendelee kuassume kuwa kila aliyebebwa na msanii atapewa mls 3, kwa alikiba atabaki na mls 34, kwa diamond atabaki na mls 47.
Diamond made more than kiba ndiyo ukweli numbers dont lie.
Na infact sidhan akina kifesi wanalipwa per show labda dancers na dj na sidhani kama wanalipa that much.
Ali kiba pia anawalipa sony na rockstarUme assume vizuri sana ila ume assume kitu ambacho si rahisi, halafu umesahau mondi ana kazi ya kuwalipa ma meneja wa 3 pia, mi siwezi kupiga hesabu kwa ku assume ila kwa timu aliyo nayo mondi gap la ml 5 kwa 3 ni dogo sana. Ni wazi kwa matumizi yoyote yale Kiba won, kama alipitwa ni kidogo sana au wako sawa
Labda kasahau kuwa apo kuna sony na rockstar wanajikuta hawaoniAli kiba pia anawalipa sony na rockstar