Ali Kiba vs Diamond Platnumz usiku wa leo Mombasa

To be honest, Ali Kiba killed the show compared to Diamond Platnumz. Ask anybody mwenye alikuwa kwa show ambaye hana team atakwambia the same. Ali Kiba alijua kuiteka crowd na alikuwa composed.

NOTE: I dont have a team, I like and respect both of them.
Tumeona video clips acha uongo Ali kiba ni aje tu ndo alipata shangwe na hata insta ndo kipande alichopost wakati mond nyimbo zote mashabiki wameimba nae
 
Acha unafiki moyo wako umekujaaa uteam kiba kabisa.
Mondi Milioni 5 alikuwa na watu 20,na Ali Kiba milioni 3 alikuwa na watu 10
Jamani kusoma hujui hata picha huoni!!?
Hapo Kiba ndo kaula
 
Jaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
Bonyeza alama ya jumlisha Ku sbcrbu iliyopo juu
 
Mondi Milioni 5 alikuwa na watu 20,na Ali Kiba milioni 3 alikuwa na watu 10
Jamani kusoma hujui hata picha huoni!!?
Hapo Kiba ndo kaula
Mond kalipwa keshs 5 mil ambazo ni sawa na 107 mls za kibongo alikiba kalipwa 3 ke mls ambazo nia sawa na 64 mls za kibongo.
Kwenye hiyo karatasi inaonyesha kwamba usafiri na maradhi ya kila mtu ni juu ya muandaaji.
Sasa ebu tu assume kila aliyekuwa ameandama na msanii alipewa mils 2. Ina maana alikiba kwa watu wake kumi atabaki na mils 44,
Kwa diamond kwa watu wake 20 atabaki na mls 67.
Tuendelee kuassume kuwa kila aliyebebwa na msanii atapewa mls 3, kwa alikiba atabaki na mls 34, kwa diamond atabaki na mls 47.
Diamond made more than kiba ndiyo ukweli numbers dont lie.
Na infact sidhan akina kifesi wanalipwa per show labda dancers na dj na sidhani kama wanalipa that much.
 
Alikua aperform peke ake ndo akatokea suprise artist

Surprise artist wamemuweka coz Mombasa kiba anapendwa sana hata ile siku ametoka fiesta siku Ya pili alikua Mombasa kwenye show na uwanja uwo uwo na watu walijaa hivyo hivyo alialikwa na gavana wa Mombasa joho...
 
Mond kalipwa keshs 5 mil ambazo ni sawa na 107 mls za kibongo alikiba kalipwa 3 ke mls ambazo nia sawa na 64 mls za kibongo.
Kwenye hiyo karatasi inaonyesha kwamba usafiri na maradhi ya kila mtu ni juu ya muandaaji.
Sasa ebu tu assume kila aliyekuwa ameandama na msanii alipewa mils 2. Ina maana alikiba kwa watu wake kumi atabaki na mils 44,
Kwa diamond kwa watu wake 20 atabaki na mls 67.
Tuendelee kuassume kuwa kila aliyebebwa na msanii atapewa mls 3, kwa alikiba atabaki na mls 34, kwa diamond atabaki na mls 47.
Diamond made more than kiba ndiyo ukweli numbers dont lie.
Na infact sidhan akina kifesi wanalipwa per show labda dancers na dj na sidhani kama wanalipa that much.

Ume assume vizuri sana ila ume assume kitu ambacho si rahisi, halafu umesahau mondi ana kazi ya kuwalipa ma meneja wa 3 pia, mi siwezi kupiga hesabu kwa ku assume ila kwa timu aliyo nayo mondi gap la ml 5 kwa 3 ni dogo sana. Ni wazi kwa matumizi yoyote yale Kiba won, kama alipitwa ni kidogo sana au wako sawa
 
Ali kiba pia anawalipa sony na rockstar
 
Back
Top Bottom