Mondi Milioni 5 alikuwa na watu 20,na Ali Kiba milioni 3 alikuwa na watu 10
Jamani kusoma hujui hata picha huoni!!?
Hapo Kiba ndo kaula
Sijamcheka, nampongeza kwa kugawana na wenzieHata akiweka mfukoni 2.5, na iliyobaki akapiga pasu, poa tu.
Nafikiri hakuna noma kutoa ajira kwa wengine. Msimcheke kwa kugawana na watu kile anachopata. Ndio mzunguko wa pesa ulivyo, na wengine nao wanaendesha familia, au vipi?
Si kweli,not real!Kenya nyumbani kwa King Kiba,diamond umaarufu wake dar na singida
Si kweli,not real!
Kama una akili kubwa tazama mkataba umetumwa humu.... Mondi entourage ya watu 20 na kiba 10...simple mathematics nani atalipa watu wengi.... Jibu rafiki wa Paul UrioKwa akili yako ndogo unahisi kiba yy hana management tena Sony unawajua ww apo kala kama m10 iv
Umesahau kuwa kiba yuko chini ya rock star piaUme assume vizuri sana ila ume assume kitu ambacho si rahisi, halafu umesahau mondi ana kazi ya kuwalipa ma meneja wa 3 pia, mi siwezi kupiga hesabu kwa ku assume ila kwa timu aliyo nayo mondi gap la ml 5 kwa 3 ni dogo sana. Ni wazi kwa matumizi yoyote yale Kiba won, kama alipitwa ni kidogo sana au wako sawa
Fanya wewe mathematics assume kila mtu analipa kila member aliyeenda naye mls 3 za kibongo then angalia nan atabak na mkwanja mrefu. Note 3 mls za kenya ni 64 mls za tz na 5 mls za kenya ni 107 mls za tz.Kama una akili kubwa tazama mkataba umetumwa humu.... Mondi entourage ya watu 20 na kiba 10...simple mathematics nani atalipa watu wengi.... Jibu rafiki wa Paul Urio
Majib yashapatikana tumeona crp kiba katia aibi Kenya
Acha unafiki moyo wako umekujaaa uteam kiba kabisa.
Picha zinaongopa video zote alizo tuma kiba insta tum3oma za dimond pia zinaongea we endeleaMimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.
Mimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.
Anapenda sifa wakati kalamba mkwanja mrefu. Wala vumbi mna jealouse sana. We umeenda umepata nini kama sio kurudi na kikwapa chako tu unapiga miayo kwa njaa. Acha hizo wewe!
Hiyo application umesign in, yaani iwe umesign 24/7Jaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
Nime sign in mkuu asanteHiyo application umesign in, yaani iwe umesign 24/7
Niache hizi nifuate zipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.