Ali Kiba vs Diamond Platnumz usiku wa leo Mombasa

Mondi Milioni 5 alikuwa na watu 20,na Ali Kiba milioni 3 alikuwa na watu 10
Jamani kusoma hujui hata picha huoni!!?
Hapo Kiba ndo kaula

Hata akiweka mfukoni 2.5, na iliyobaki akapiga pasu, poa tu.
Nafikiri hakuna noma kutoa ajira kwa wengine. Msimcheke kwa kugawana na watu kile anachopata. Ndio mzunguko wa pesa ulivyo, na wengine nao wanaendesha familia, au vipi?
 
Sijamcheka, nampongeza kwa kugawana na wenzie
Ila nilikuwa najaribu kuonesha kuwa Kiba hapo ndo kaula
 
Kenya nyumbani kwa King Kiba,diamond umaarufu wake dar na singida
 
Kwa akili yako ndogo unahisi kiba yy hana management tena Sony unawajua ww apo kala kama m10 iv
Kama una akili kubwa tazama mkataba umetumwa humu.... Mondi entourage ya watu 20 na kiba 10...simple mathematics nani atalipa watu wengi.... Jibu rafiki wa Paul Urio
 
Ume assume vizuri sana ila ume assume kitu ambacho si rahisi, halafu umesahau mondi ana kazi ya kuwalipa ma meneja wa 3 pia, mi siwezi kupiga hesabu kwa ku assume ila kwa timu aliyo nayo mondi gap la ml 5 kwa 3 ni dogo sana. Ni wazi kwa matumizi yoyote yale Kiba won, kama alipitwa ni kidogo sana au wako sawa
Umesahau kuwa kiba yuko chini ya rock star pia
 
Kama una akili kubwa tazama mkataba umetumwa humu.... Mondi entourage ya watu 20 na kiba 10...simple mathematics nani atalipa watu wengi.... Jibu rafiki wa Paul Urio
Fanya wewe mathematics assume kila mtu analipa kila member aliyeenda naye mls 3 za kibongo then angalia nan atabak na mkwanja mrefu. Note 3 mls za kenya ni 64 mls za tz na 5 mls za kenya ni 107 mls za tz.
Haya mwanahesabu fanya hesabu uone kuwa mond na team yake kubwa bado atakuwa na mkwanja mrefu.
 
Majib yashapatikana tumeona crp kiba katia aibi Kenya

Mimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.
 
Picha zinaongopa video zote alizo tuma kiba insta tum3oma za dimond pia zinaongea we endelea

Na ndo mana jamaa kapata m3 mwenzak 5

Pole kaka nipo mombasa hapa mtaan ni dimond tu japo juz sikufanikiwa ingia kwa shoo yake
 
Mimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.

Anapenda sifa wakati kalamba mkwanja mrefu. Wala vumbi mna jealouse sana. We umeenda umepata nini kama sio kurudi na kikwapa chako tu unapiga miayo kwa njaa. Acha hizo wewe!
 
pesa ya diamond walaji wengi, tale, islam, fela, wanengua viuno kama 10 hivi, ya ally walaji wachache
 
Anapenda sifa wakati kalamba mkwanja mrefu. Wala vumbi mna jealouse sana. We umeenda umepata nini kama sio kurudi na kikwapa chako tu unapiga miayo kwa njaa. Acha hizo wewe!

Niache hizi nifuate zipi?
 
Jaman mbona mwenzenu sipokei notification ya jamii forum na nina application kwny sim yangu,au kuna mahal nimebonyeza maana nikitaka kuangalia kma mtu ame reply comment yangu lazm niend kkwenye website y jamii forum kawaida kabis
Embu niambie wataalam wa jamii forum/wakongwe
Hiyo application umesign in, yaani iwe umesign 24/7
 
KingKiba kaua kama kawaida yake mwingine wa Tandale anajiendekeza kwa Play back
 
Niache hizi nifuate zipi?

Huna lolote mbwiga wewe. Mwenzio kapiga mkwanja mrefu we umekaa na majungu tu humu. Mwanaume mzima unakuwa na tabia za kishangingi. Na ndio maana unaishi Mombasa na tabia hizi sikushangai.
 
Mimi nimekuwa kwenye show na nimeshuhudia live. Kwenye Instagram page ya Diamond amePost fataki akidanganya watu kuwa fataki ziliwekwa kwa ajili yake wakati fataki ziliwekwa kufungua show na kuadhimisha miaka kumi ya ODM. Diamond anapenda sifa sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom